Kwa yanayoendelea katika ulingo wa siasa hapa nchini nimemkumbuka Baba wa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa yanayoendelea katika ulingo wa siasa hapa nchini nimemkumbuka Baba wa Taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Joblube, May 15, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika moja ya hotuba za baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahikusema kuwa mtu aliyefilisika kisera na kiakili atajidhirisha kwa kuanza kukimbilia udini, ukabila, ukanda. Sasa mambo hayo yamenazungumzwa na wana CCM tangu kampeni za uchaguzi mpaka sasa. Hivi CCM wanataka kutuambia wamefilisika kweli mpaka kujiingiza katika mambo hayo?
   
 2. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kwani udini,ukabila na ukanda haupo Tanzania?ulianza baada ya Nyerere kufa?
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hawana jipya!
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kuna issue ilitokea mahakama ya kisutu mfungwa alipokuwa anarudishwa akapande karandinga kurudi keko akatoroka,baada ya kufukuzwa na kunaswa ,akarudishwa mahakamani kusomewa mashtaka ya kutoroka chini ya uangalizi wa polisi. Baada ya kusomewa shitaka akapewa nafasi ya kujitetea. Yeye akajibu mh.Hakimu,mimi sijatenda kosa ilo! Nami nakuuliza wewe,kama ccm wamebanwa,unategemea wakubali kilaini? Hapana,najua wana haki ya kutapa tapa na kukimbia kivuli chao,ivo tuvumilie! Watajaribu njia zote ikiwamo kufungua hata kesi feki za uhaini,kutoana kafara na mengi tutayaona. Liberation is always slow and uneasy!
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  baba wa taifa aliliona hilo fika, alishaona ccm imepoteza mwelekeo, aligundua hata makosa aliyoyafanya yenye akiwa mkuu wa nchi. kama aliona twafaa ongozwa na kikwete angelimwacha 1995 achukue nchi.
   
Loading...