Kwa yanayoendelea CHADEMA najiuliza Lwakatare yuko wapi?

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
323
314
SITAKI KUAMINI KAMA MTAALAM HUYU ANAITENDEA HAKI TAALUMA YAKE.NINAPATA TAABU KUONA WACHUMIA MATUMBO WANAVYOTAMBA AWAMU HII NDANI YA CHADEMA.
AU KUNA MGOMO BARIDI?

KWA NINAVYO MFAHAM LWAKATARE KWA MBINU NA UFANISI WA MIKAKATI YA KIUSALAMA,NASHANGAA KUONA MPAKA LEO WAHUNI WANAENDELEA KUJINAFASI NDANI YA CHADEMA NA HAKUNA MIKAKATI MADHUBUTI.

KWA JICHO LA TATU LA KIUSALA WAANDAAJI WA MIPANGO HII MIOVU WAKO NDANI YA CHADEMA.KUENDELEA KUVAA KIVULI CHA CCM KATIKA HUU UHUNI NI KUPOTEZA MUDA TU.

NINI CHA KUFANYA KATIKA HALI HII INAYOENDELEA
(1)Chadema inapaswa kucheza ramli chonganishi,ambayo ni kutengeneza kiapo kitacho wachonganisha walafi na wananchi.hii ikiwa na maana kila mbunge,diwani au mwenyekiti kupanda juu ya jukwaa na kula kiapo cha kuwaeleza wapiga kura wake kuwa endapo ntajiuzulu na kukimbilia chama kingine na kuja kwenu tena kugombea,msinichague kwa kuwa Mimi ntakuwa mlafi na nnatumikia zaidi tumbo langu.

Hii inanikumbusha kipindi fulani marehem kaburu aliwahi kuwaambia watu wa KIGOMA nanukuu HATA MSIPONICHAGUA CHUNGU CHANGU HAKIWEZI KUINGIA MAHARAGE,haya maneno baadae yalimsumbua sana kaburu kigoma.
 
Lwakatare yupo ila anaunga mkono juhudi z Mheshimiwa Rais!!!
 
Alijiuzuru nafasi hiyo kitambo sana
 
Back
Top Bottom