Kwa yaliyonikuta, Mwanamke mwenzangu nakushauri usiwe na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mmoja

Sauda

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
860
1,106
Sitaki hata kukumbuka yaliyonikuta hapo nyuman nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamume mmoja, nilimpenda sana, sikuwahi kufikiria kama angekuja kunifanyia uchafu kama ule.

Sikujihusisha na uhusiano wowote wa kimapenzi na Mwanaume mwingine tofauti na yeye, ila akaja kunitenda ni aibu kwa aliyonitendea hata kuyaanika hapa

Mpaka sasa bado sijarudi katika hali yangu ya kawaida najaribu kila njia ili japo nisahau aliyonitendea, lakini inashindikana.

Kwahiyo wanawake wenzangu, ukiwa na mwanaume mmoja, jiandae kisaikolojia. Wanaume hawaaminiki, mwanaume anaweza hat akalala na mdogo wako wa damu, siyo kwamba hajui, hapana, anajua kabisa, ila anafanya makusudi.
 
Sitaki hata kukumbuka yaliyonikuta hapo nyuma!
Nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamume mmoja, nilimpenda sana, sikuwahi kufikiria kama angekuja kunifanyia uchafu kama ule.

Sikujihusisha na uhusiano wowote wa kimapenzi na Mwanaume mwingine tofauti na yeye, ila akaja kunitenda.

Ni aibu kwa aliyonitendea hata kuyaanika hap!

Mpaka sasa bado sijarudi katika hali yangu ya kawaida!
Najaribu kila njia ili japo nisahau aliyonitendea, lakini inashindikana.

Sababu umeumizwa ww hai maanishi kuwa wanaume wote ni wabaya dada. Pole kw maumiv ulio yapata.

Lakin hilo la wazo la kuwa na wanaume wengi ukidhani zuri.. huko ndipo shetani anakutamani uende ili akuangamize zaidi.

Alie kuumiza ni mmoja, ya nn uchukie wote.
 
Sitaki hata kukumbuka yaliyonikuta hapo nyuma!
Nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamume mmoja, nilimpenda sana, sikuwahi kufikiria kama angekuja kunifanyia uchafu kama ule.

Sikujihusisha na uhusiano wowote wa kimapenzi na Mwanaume mwingine tofauti na yeye, ila akaja kunitenda.

Ni aibu kwa aliyonitendea hata kuyaanika hap!

Mpaka sasa bado sijarudi katika hali yangu ya kawaida!
Najaribu kila njia ili japo nisahau aliyonitendea, lakini inashindikana.

Kwahiyo wanawake wenzangu, ukiwa na mwanaume mmoja, jiandae kisaikolojia. Wanaume hawaaminiki, mwanaume anaweza hat akalala na mdogo wako wa damu, siyo kwamba hajui, hapana, anajua kabisa, ila anafanya makusudi.
Unakariri ndo tatizo au ushajaribu wote
 
Alikutenda na mwanaume mwenziye? Kama ni mwanamke, je huyo mwanamke alikuwa hafahamu Kama huyo ni mumeo? Kama jibu ni hapana,Basi hata wanawake sio wa kuwaamini.
 
Back
Top Bottom