Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kachaguliwa chuo nilichokaribu nacho sana hapa hospital ya wilaya sameTayari majibu yameshaanza kutoka mnaombwa kutembelea kwenye profilw zenu kuangalia majibu yenuView attachment 1199068
Nenda palipo andikwa login utaonaMbona wanaonyesha system closed for application and therefore one can not access his/her profile!
wananipeleka kwenye application, siyo selectionNenda palipo andikwa login utaona
Syo kweli mkuu ww ndio unakosea sory nakuja pm nikuelekezewananipeleka kwenye application, siyo selection
Ukiona hvyo ujue bado haijasomawananipeleka kwenye application, siyo selection
Hata Mimi Kuna dogo nilimfanyia application naona bado hakuna jipyaNahisi hawajatoa kwa wote mkuu wangu
Ok sawa ngoja waje sorry mkuusio nilichoomba kujuzwa mkuu nilitaka nijue tu kama wapo walioomba vyuo hivyo na ikoje kwao,na hapo haipo Bugando peke yake,samahani lakini
Dah aisee naona mambo n dry mpaka sasa saiz hata link ya kuingia profile haifunguk sjui huko kwen wadau?usijali mkuu
Kuwa mpole kaka itafunguka utajua kilichomoDah aisee naona mambo n dry mpaka sasa saiz hata link ya kuingia profile haifunguk sjui huko kwen wadau?
Mkuu ufaulu wako mzuri sana mpaka uombe bugando?
Mkuu kuna vyuo vingine kama ufaulu wako wa mashaka ata bugando usihangaije mfano mtu una physics d chemistry c na biology d utegemee bugando au muhimbili wakudahili mfano capacity ni 100 wanaomba wanafika elfu competition hiyo kubwa mnoKwani bugando ina nini?