Kwa wote walioomba vyuo kupitia Nacte

JAPHA ED

JF-Expert Member
Aug 17, 2016
789
1,183
Tayari majibu yameshaanza kutoka mnaombwa kutembelea kwenye profilw zenu kuangalia majibu yenu
Screenshot_20190905-192951.jpeg
 
Mbona wanaonyesha system closed for application and therefore one can not access his/her profile!
 
samahani jamani kwa aliyechaguliwa vyuo hivi:
Bugando school of nursing
Kiomboi school of nursing
Nzega school of nursing
Tanga school of nursing
Kahama school of nursing
kama yupo tafadhali naomba kujuzwa
 
sio nilichoomba kujuzwa mkuu nilitaka nijue tu kama wapo walioomba vyuo hivyo na ikoje kwao,na hapo haipo Bugando peke yake,samahani lakini
 
Kwani bugando ina nini?
Mkuu kuna vyuo vingine kama ufaulu wako wa mashaka ata bugando usihangaije mfano mtu una physics d chemistry c na biology d utegemee bugando au muhimbili wakudahili mfano capacity ni 100 wanaomba wanafika elfu competition hiyo kubwa mno
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom