Kwa wote tuliotumia JF kwa nia ya kutafuta wake/wachumba/majimama ya kutulea au waume

GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,890
1,126
Wana ndugu naombeni msaada kwa wale wote tuliotumia JF kwa nia ya kutafuta wake/wachumba/majimama ya kutulea/waume au kakijana kakiume cha kukalea na tukafanikiwa naomba mtoe ushuhuda wenu hapa ili kuwanusuru na kuwatia moyo vijana ambao nao wanampango kama huo mliofanikisha nyinyi kwa kupitia JF.
 
we ungesema moja kwa moja shida yako ni nin hasa.usijilinganishe na mtu mwingine kila mtu ana bahat yake bana.ndo mana kila mtu hukutana na mwenzi wake sehemu tofauti tofauti there is no uniformity in this.so we kama unatafuta tafuta tu usijifananishe na mtu.ila me baby wangu nimempatia hapa hapa na he is a nice guy.so jaribu bahati yako
 
SWEET GIRL bila shaka wewe ni mtam sana!
 
Last edited by a moderator:
we ungesema moja kwa moja shida yako ni nin hasa.usijilinganishe na mtu mwingine kila mtu ana bahat yake bana.ndo mana kila mtu hukutana na mwenzi wake sehemu tofauti tofauti there is no uniformity in this.so we kama unatafuta tafuta tu usijifananishe na mtu.ila me baby wangu nimempatia hapa hapa na he is a nice guy.so jaribu bahati yako

Huu ndo ushuhuda tunaoutaka. Wala sihitaji mwanamke kutoka humu JF coz sitamheshimu.
 
Mi kuna MUME wa mtu humu NAMTOLEA MIMACHO basi tu!!!!!!!! Nikiona Comment yake mwili unasisimka ssssssssssssss!!!!!!! (Dnt get it twisted KI JF ZAIDI TU!!! LOOKING IS FREE BT TOUCHING WILL COST ME! LOLEST!)
 
Huu ndo ushuhuda tunaoutaka. Wala sihitaji mwanamke kutoka humu JF coz sitamheshimu.

so yule baa medi ndo unamheshimu siyo??mshamba wewe nasikia kabisa unananii king'ombe ng'ombe.watu wengine bwana wanatujazia tu mji bora wabakiage hukohuko vijijin basi tu naogopa ban lkn ningefungulia bomba la maji taka ungevua nguo wewe
 
Hahahaaaaa GOOGLE! LEO IMEKUTANA NA BING! NA ASHAMPOO! KWA MPIGO!!!!!!!!!!!! MI SIMOOOO!!!!!!!!
 
Na kama kuna aliyefanikiwa kumpata mwenza wake kupitia JF wakawa ktk serious rship kabisaaaa...nampa 5 kwakweli!..
 
so yule baa medi ndo unamheshimu siyo??mshamba wewe nasikia kabisa unananii king'ombe ng'ombe.watu wengine bwana wanatujazia tu mji bora wabakiage hukohuko vijijin basi tu naogopa ban lkn ningefungulia bomba la maji taka ungevua nguo wewe

Kojoa ulale!! Nitakuwekea kijiti!
 
Back
Top Bottom