JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 1,890
- 1,126
Wana ndugu naombeni msaada kwa wale wote tuliotumia JF kwa nia ya kutafuta wake/wachumba/majimama ya kutulea/waume au kakijana kakiume cha kukalea na tukafanikiwa naomba mtoe ushuhuda wenu hapa ili kuwanusuru na kuwatia moyo vijana ambao nao wanampango kama huo mliofanikisha nyinyi kwa kupitia JF.