Kwa wote ambao wanahitaji kujua jinsi ya kuhack!

Bro elly unaionaje hii JF forums? Is it safe?Naona cku hz wameweka support ya TLS 1.2 maana ilikuwa hai encrypt data kabisa ina send plain text.Eaves dropper wa miaka hyo wali enjoy sana.Do you think its secured as people say?
 
Hii ni blog haina security yoyote kama ilivyo facebook. Na wanaoimiliki ni kampuni ndogo sana haina wataalam wna mtaji wa kuwekeza kwenye security. Kwanza hawana sever zao wenyewe
 
2jadiliane wote na 2elemishane.. Mi nimtafiti wa ma network ya bongo,nachunguza process zote na katika process ya kucheki napata kujua vitu vingi tuu,hadi wapi kuattack..but nimeona sasa ni mda wa kujiunga na wabongo wenzangu ili 2 fly high wote.
Cha kwanza ni kujua lugha ya mtandao HTML
 
Back
Top Bottom