mawzo yako hayooowanajf.
Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini
hapa ni full kumeza..ili nipasue paper...hii ndo elimu ya bongo at the end utaratibu wa kazi tutafahamu pindi tukiajiriwa..WANAJF.
Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini
ushauri mzuri sana, ingawa naona kuna watu wanakejeli
Ushauri mzuri sana, ingawa naona kuna watu wanakejeli