Kwa wlio vyuon

firstone

Member
Nov 18, 2010
13
1
WANAJF.
Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini
 
WANAJF.
Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini
hapa ni full kumeza..ili nipasue paper...hii ndo elimu ya bongo at the end utaratibu wa kazi tutafahamu pindi tukiajiriwa..
 
Back
Top Bottom