Kwa Wizara ya Elimu na Wakuu wa vyuo

Colvladimir

New Member
May 8, 2020
1
3
Wakuu wa Vyuo mmesikia soon wanafunzi wanarejea. Mmejipangaje kuweka protection measures ikiwamo social distancing madarasani kujaa sana,vimbweta kila madarasa kuweka Maji na sabuni etc.

Inabidi muanze kuweka mazingira sawa maana hawa vijana wanatoka mtaani now kuja huko.
 
Wakuu wa Vyuo mmesikia soon wanafunzi wanarejea. Mmejipangaje kuweka protection measures ikiwamo social distancing madarasani kujaa sana,vimbweta kila madarasa kuweka Maji na sabuni etc...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye akili nakujitambua huwezi kuruhusu mtoto wako mdogo arudi shule kwa wakati hu utakua ujinga wa hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wa Vyuo mmesikia soon wanafunzi wanarejea. Mmejipangaje kuweka protection measures ikiwamo social distancing madarasani kujaa sana,vimbweta kila madarasa kuweka Maji na sabuni etc...
Inabidi muanze kuweka mazingira sawa maana hawa vijana wanatoka mtaani now kuja huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tamko la kujifariji labda sijui mazingira ya mabweni, idadi ya wanafunzi, udogo wa venue, poor ventilation kwenye hizo venue, tatizo la maji,kubanana darasani -ve distance. Sawa ngoje tuone yajayo na Mungu wetu
 
Wakuu wa Vyuo mmesikia soon wanafunzi wanarejea. Mmejipangaje kuweka protection measures ikiwamo social distancing madarasani kujaa sana,vimbweta kila madarasa kuweka Maji na sabuni etc...
Inabidi muanze kuweka mazingira sawa maana hawa vijana wanatoka mtaani now kuja huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bora vyuo vifunguliwe tu maana kinachofanyika huku mtaani watu wanajichanganya sana kila jioni watu wanacheza mpira yani hakuna anaejilinda. Naona serikari wanapoteza mda vyuo vifunguliwe hata jumatatu, mfano ni Mimi mwenyewe tokea tumefunga vyuo nimecheza ndondo kuanzia mwanza mjini,Magu, Sengerema lakini sijawai kupata shida ya afya, Mimi naona vyuo vifunguliwe tu.
 
Sawa ngoje tuone yajayo na Mungu wetu

Mungu wetu hapendi uzembe na ujinga.--- ukifanya ujinga na uzembe ilhali kakupa akili hiyo itakula kwako, Yeye (Mungu) kisha tenda nafasi yake ya kukupa Akili usipoitumia hiyo ni juu yako.
 
Mkuu bora vyuo vifunguliwe tu maana kinachofanyika huku mtaani watu wanajichanganya sana kila jioni watu wanacheza mpira yani hakuna anaejilinda. Naona serikari wanapoteza mda vyuo vifunguliwe hata jumatatu, mfano ni Mimi mwenyewe tokea tumefunga vyuo nimecheza ndondo kuanzia mwanza mjini,Magu, Sengerema lakini sijawai kupata shida ya afya, Mimi naona vyuo vifunguliwe tu.

Wewe utakuwa ni mwanafunzi wa msingi wala sio wa chuo, mawazo yako ni childish, sasa kama wewe huna Corona unajuaje kwamba mwanafunzi mwenzako kutoka mfano, Dar anayo Corona na anaweza kukuambukiza wewe anapofika hapo shuleni???!!.

Kufungua shule kwa wakati huu na ukizingatia mazingira yetu hafifu ni jambo risky na suicidal sio kwa wanafunzi tu bali kwa watu wote.

We have to learn what happened in Italy, China, USA etc.---just keep in mind in Italy, for eg, 2000 people would died in a day for Covid-19, Italy is comparatively in the first world economy but it felt the PINCH and trumatized todate.
 
Mkuu kama nimekusababisha umepanic nisamehe mkuu, si kila kitu lazima tujifunze kutoka huko nje au lazima tuige wao wanafanyaje.

Mbona Sweden hakuna lockdown na maisha yanaendelea kama kawaida? Mbona mkuu nchi zilizopo kwenye lockdown graph Yao ya maambukizi inaendelea kupanda? (Sijui situation hapa Tanzania).

So CORONA ikiwepo miaka mitatu mbele basi hakuna kitakachhofanyika? Mimi namuunga mkono Magufuli vyuo vifunguliwe maana hao ni watu wazima wanaweza kuchukua tahadhari. France walifungua shule zao lakini wanafunzi walivyokutwa na maambukizi wamefunga shule mpaka mwakani so sio vibaya kujaribu.

German wananchi zaidi ya 5000 wametoka nje kushinikiza watoke nje CORONA IS FAKE.
Hao WHO kila siku kutoka takwimu kwamba ifikapo sijui March, April, May Corona Africa itakua mbaya sijui maiti zitaokotwa barabarani watu watakufa lakini tunaishi normal.
 
Wakuu wa Vyuo mmesikia soon wanafunzi wanarejea. Mmejipangaje kuweka protection measures ikiwamo social distancing madarasani kujaa sana,vimbweta kila madarasa kuweka Maji na sabuni etc.

Inabidi muanze kuweka mazingira sawa maana hawa vijana wanatoka mtaani now kuja huko.
Ukifikiria kwa kigezo hichi sioni chuo gani kitaweza kumudu. Madarasa yetu tayari yamejaa kupitiliza hadi vyuo vikuu. Ukisema waje kwa shift unakutana na uhaba wa walimu. Ipo kazi.
 
Hata huko mitaani na majumbani ambako wanavyuo wapo kwa sasa sidhani kama kuna social distancing
 
Vijana msilete longolongo vyuo vikifunguliwa wiki ijayo muwai masomo

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Kwahiyo waliokufa nao wamekufa kifo Fake...?
Mkuu kama nimekusababisha umepanic nisamehe mkuu, si kila kitu lazima tujifunze kutoka huko nje au lazima tuige wao wanafanyaje.
Mbona Sweden hakuna lockdown na maisha yanaendelea kama kawaida? Mbona mkuu nchi zilizopo kwenye lockdown graph Yao ya maambukizi inaendelea kupanda? (Sijui situation hapa Tanzania). So CORONA ikiwepo miaka mitatu mbele basi hakuna kitakachhofanyika? Mimi namuunga mkono Magufuli vyuo vifunguliwe maana hao ni watu wazima wanaweza kuchukua tahadhari. France walifungua shule zao lakini wanafunzi walivyokutwa na maambukizi wamefunga shule mpaka mwakani so sio vibaya kujaribu.

Back
Top Bottom