Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

Hata huku Zanzibar wapo wabara ambao wamezaliwa bara wakaja Zanzibar wamepata ajira serikalini tena wengine wazanzibar wananyimwa ajira wanapewa wabara mpaka wengine wana nyadhifa serikalini mfano mzuri kuna yule jamaa mbunge wa maeneo ya kiboje kazaliwa bara lakini kachaguliwa ubunge tena kwa kura ...mnapotoa post kama hizi zinazogusa siasa na muungano mtegemee kashfa na matusi tu

Kama ambavyo wazamzibar wapo bara na wa bara ni halali kabisa wawe zenji
ukitaka kula lazma uliwe
 
Kwa kweli wanaharibu silka na tamaduni zetu kisha hiyo mi re re yao yaani mpk LUGHA yetu adhimu wanatuchafulia
mbona nyie mmejazana huku bara na mandevu yenu Kila mahali nchi nzima hatuwabagui? wacha watu wapige fursa
na sisi tukiwafukuza huku bara sijui mtaenda wapi zenji unaweza izunguka na baiskeli yote(in mbunge kessy's voice)
 
Dhambi ya ubaguzi hakuna atakaebaki salama.
FB_IMG_1540544920833.jpeg
 
Write your reply...
dega unasema eti mmezuiwa kuuza nyanya zenu bara
hebu acha vituko yaan Zanzibar inalima nyanya kuizd bara? nyanya zenu uzianen huko huko nyie mmejulia wapi kilimo wakat huko kwenu mpo busy kufuga ndevu?
kuhusu bakhresa
huyu tajiri ni mhindi sio mzenji hakuna mzenji mhindi acha mbwembwe
 
Waaulize CCM na Shein wao huu muungano mnalazimishwa?
Kama koti linabana si mlivue kama alivyosema marehemu Karume
 
Hakuna watu wabaguzi kama wa Znz, natamani siku moja huu muuungano wanaoupinga uvunjike kila mmoja arudi kwao. ndio watajua kwanini kuna karanga za kukaanga, kuchemsha na za kuchoma!
 
Hali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
Jinga kabisa wewe.wabara wanfanya hvyo kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tz.wana Uhuru wa kuishi ppt ndani ya jamhuri ya muungano alimradi hawvunji sheria.
 
tena sio tu shariff shamba sasa wapemba wamevamia mji wa mwanza tabu tupu hawa sio watu wabaya wa roho
 
Hiyo Ardhi haina mwenye hati miliki nayo kwasababu historia inaonyesha kwamba wasukuma na Wanyamwezi walikuwa wanapelekwa huko kulima karafuu

Lakini mm nawafahamu wapemba ni wabaguzi sana hata waislam wa huku bara huwa mnawatenga nyinyi sio watu wazuri wapemba wachache sana ndio ambao hawana ubuguzi hususani wale walio kulia Dar es salam

Lakini ukija huku bara wapemba hawabaguliwi nimetembea sehemu nyingi sana kama Moro,pwani,Iringa Dodoma ,Singida Tabora kote humu nimekutana na wapemba wakiuza migahawa na watanganyika wananunua bila ubaguzi wowote

Kama wewe unajifanya unauchungu sana nenda ukaishi Oman

kweli kabisa hata huku bara wapemba wanawabagua waislam wa huku bara hata akiwa jirani yako huku dar na wewe sio mpemba hakujui kabisa
 
Hali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
Wewe shida yako ni ardhi? njoo bara mkoa wowote utapata ardhi ukae.
 
SSikatai hilo ila ujuwe wazazibar wote wanaweza kuwa sawa na wakazi wa wilaya moja tuu ya TANGANYIKAhvyo kutufananisha mnakusidia kuupoteza utambulisho wetuu
Sasa utambulisho kwamba wewe mzanzibar unakusaidia nini? unapata penshen kwa kuitwa mzanzibari? au sijakuelewa bro.
 
Back
Top Bottom