Kwa wenzetu mliotoka chuo mkajiajiri hapo hapo mlifanyaje? Au mkaajiriwa kwa miaka hii ya ajira ngumu?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
566
Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts.

Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani.

sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
 
Mkuu nahitaji mtu wa kufanya naye biashara/Business partner nna kampuni mpya kwahyo ikiwa utakuwa interested nitafute ili tuongee na tujue tuna fanya vipi na hapa mtaji si issue kubwa muhimu ni business strategies zitakazo tuinua na uwe committed kwelikweli ili tuweze kufikia malengo.
Nitumie number yako pm ntapigia.

Majukumu ya huyo mtu?
 
Na nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana
 
Muda nzuri wa kuanzisha uzi saa 4-6 hasubui, Timing ya kuanzisha uzi unafeli je utaweza jiajiri?
Acha kujifanya mjuaji. Jamaa kaamua kuja kuomba ushauri hasa kwa nyie mlioajiriwa halafu mnawalalamikia Vijana hawataki kujishughulisha wala kujiajiri,badala ya kumpa sasa huo ushauri wa kujiari unaanza kuongea pumba.
 
Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts.

Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani.

sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
Inawezekana but very difficult,mine nimeishakuwa muhenga,kuna watu niliwakuta kwenye ajira Tena na mishahara minono,lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kujiajiri ni mpaka walipozichanga za kutosha,after 15yrs,wengine ndio wakaweza kuanzisha makampuni yao na kuajiri vijana kibao,iliwachukua si chini miaka 10,kuweza kujiajiri,sio kujiajiri kwa kufuga kuku na kitimoto,kufungua kampuni zinazo ajiri vijana 60 mpaka 200,.
Na kikubwa ilitegemea fulsa,watu wanakufata huna gari,nyumba ila una ujuzi,waankuambia tunataka kukupa kazi hii,wewe unakodi gari,wanakupa kazi na kianzio mengine utaendelea
 
Hata kama hana ata Shin 10
Ndiyo mkuu iko hivyo mambo ya mtaji si shida kikubwa tufanye kazi na tushauriane aina gani ya watu tuanze nao kuwa ajiri nasisi tufanye vipi kazi ili kufikia malengo ya kampuni na malengo ya kila mmoja wetu
 
Nipo tayari naona ni suala la kimikakati zaidi na ideas za kuPush startup ila hata pesa ya nauri sina
 
Na nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana
Ukiskia uchawahi ndo huu acha vijana wa enjoy maisha yenyewe mafupi haya
 
Na nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana
Hizo ni issue zako personal na kijana wa UDOM . Hzihusiani na mada
 
Na nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana
Usipende kumuombea mwenzio mabaya
 
Back
Top Bottom