Kwa wenyeji wa Tanga msaada wenu

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza kushauri twende tanga tukapatembelee ikiwa hatujawahi fika kwenye huu mkoa hata siku Moja.

Baada ya majadiliano ya mda mrefu tukaamua kuweka gari mafuta ya kutosha hiyo saa4 usiku wa Jana, tukaanza Safari ya kwenda tanga mjini mida ya saa11 kasoro tukawa tushafika sehemu ambayo hatukuitambua kwa jina but kulikuwa na kibao kinasomeka Tanga cement company na mbele yake kidogo kulionekana kiwanda kingine tulivopita pale kwa mbele kulionekana stand ya magari kwa mda huo palikuwa patupu na patulivu Sana.

Sisi tukasonga mbele mpaka tukafika sehemu Kuna veta tukauliza pale sehemu za hotel kwa bodaboda waliokuwa pale wakatuelekeza hotel Moja inaitwa dolphin, tulifika hapo dolphin asubuhi ya Leo na hi ilikuwa Kama saa11 na dk15, tukachukua rooms tukapumzika kwa masaa then asubuhi baada ya kifungua kinywa tukataka kujua maeneo mazuri ya kutembelea. Tumeelekezwa Tanga beach hotel, Raskazone area, na sehemu nyingine ... Huku kote tumeenda.

Kuna kitu tumekuta tofauti kabisa na kile kilichokuwa kwenye mawazo yetu, mbna Ni mji wa kawaida Sana Tena uko kilocal Sana na wale watoto wakali waliofanya Hadi yule msanii mgosi akatunga wimbo wa " mabinti wa kitanga", mbona siwaoni Tena nawaona wapo wakawaida tu.

Hapa wenyeji wa huu mji tuelezeni Ni maeneo gani ukienda hapa tanga unajihisi uko peponi na hao watoto wako wapi huku... Nina siku Moja tu mpka kesho ya huku tanga please nielekezeni wenyeji
 
Watoto wa kitanga sio sura zao baba.... mambo yao tuliza boli upate mtoto wa kidogo akufanyie yake tena sio dolphin hapo au tanga beach resort ah baba haya mambo huku uswazi, hudhuria sherehe zetu za kukesha uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza kushauri twende tanga tukapatembelee ikiwa hatujawahi fika kwenye huu mkoa hata siku Moja.

Baada ya majadiliano ya mda mrefu tukaamua kuweka gari mafuta ya kutosha hiyo saa4 usiku wa Jana, tukaanza Safari ya kwenda tanga mjini mida ya saa11 kasoro tukawa tushafika sehemu ambayo hatukuitambua kwa jina but kulikuwa na kibao kinasomeka Tanga cement company na mbele yake kidogo kulionekana kiwanda kingine tulivopita pale kwa mbele kulionekana stand ya magari kwa mda huo palikuwa patupu na patulivu Sana.

Sisi tukasonga mbele mpaka tukafika sehemu Kuna veta tukauliza pale sehemu za hotel kwa bodaboda waliokuwa pale wakatuelekeza hotel Moja inaitwa dolphin, tulifika hapo dolphin asubuhi ya Leo na hi ilikuwa Kama saa11 na dk15, tukachukua rooms tukapumzika kwa masaa then asubuhi baada ya kifungua kinywa tukataka kujua maeneo mazuri ya kutembelea. Tumeelekezwa Tanga beach hotel, Raskazone area, na sehemu nyingine ... Huku kote tumeenda.

Kuna kitu tumekuta tofauti kabisa na kile kilichokuwa kwenye mawazo yetu, mbna Ni mji wa kawaida Sana Tena uko kilocal Sana na wale watoto wakali waliofanya Hadi yule msanii mgosi akatunga wimbo wa " mabinti wa kitanga", mbona siwaoni Tena nawaona wapo wakawaida tu.

Hapa wenyeji wa huu mji tuelezeni Ni maeneo gani ukienda hapa tanga unajihisi uko peponi na hao watoto wako wapi huku... Nina siku Moja tu mpka kesho ya huku tanga please nielekezeni wenyeji
Kama kweli mnataka mu enjoy maisha safi beaches poa sana na hotels safi nenda Pangani kuna eneo linaitwa Ushongo kuna hotels kibao au nenda sange au mkwaja kule karibu na saadan, tanga mjini hakuna beach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli mnataka mu enjoy maisha safi beaches poa sana na hotels safi nenda Pangani kuna eneo linaitwa Ushongo kuna hotels kibao au nenda sange au mkwaja kule karibu na saadan, tanga mjini hakuna beach

Sent using Jamii Forums mobile app

Sadan Kuna hotel za kukala Kama ikitokea usiku tuko huko.
Na Hawa watoto ambao wanasifika Sana huku wako wapi?
 
Back
Top Bottom