Kwa wenyeji wa mtwara hivi vitu wanavifahamu

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
864
Vikubwa kama viazi vinaitwa mato ni dawa kwa wale wenye pb na kisukar
Na hvyo vingine vinaitwa kweme ni tamu sana kama korosho ukitafuna
20180604_123314.jpg
 
Vinapatikana sana wilaya ya Newala na Tandahimba mkoani Mtwara, hiyo ni aina ya dawa za mitishamba zina tibu magonjwa mengi sana ikiwemo presha, sukari, hata yale mataizo ambayo yamekuwa janga kwa kina baba!
 
sasa unataka watu wapasue ungo kwa kuvigombania kwa maelezo yako hapo juu.
 
Moshi uchagani vipo pia hivyo viazi tunaviita nduu nahizo nyingine ni kweme..kweme Ukiziunga kwenye ndizi lazima ujing'ate kwa utamu
 
Hivi mayai ya Kware yameishia wapi jamani?naona Matikiti sasa hivi yanapatikana nchi nzima,sasa tusibirie hivyo vimbegu...
 
Back
Top Bottom