Kwa wenyeji wa morogoro mjini, ni kweli kanisa la katoliki lilimiliki eneo kutoka hospitali kuu mpaka bigwa bila mpaka?

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,677
22,396
Nawatakie Eid njema wakuu.
niliwahi kusikia kuwa zamani jimbo katoliki morogoro ndio walio kuwa wamiliki halali kuanzia hospitali kuu mpaka bigwa kwa makadirio ni km 15. Na hakuka na eneo la mtu au taasisi yoyote katikati hapo.
ningependa kujua kama ni kweli na iliwezekanaje?
 
Nawatakie Eid njema wakuu.

niliwahi kusikia kuwa zamani jimbo katoliki morogoro ndio walio kuwa wamiliki halali kuanzia hospitali kuu mpaka bigwa kwa makadirio ni km 25. Na hakuka na eneo la mtu au taasisi yoyote katikati hapo.

Mimi siujui sana huo mji ila hapo umedanganya sana Km 25 ni kutoka mjini mpaka Mikese na siyo Bigwa kama unavyotia chumvi hapa
 
Hilo linawezekana kabisa kwa taasisi au watu wenye kufikiria mbali, kuna msemo "if you plan for a decade plant trees but if you plan for a century invest in education" hawa jamaa wali-invest kwenye education na hata Mwl Nyerere alivyotaifisha taasisi zao haikuwa shida sana kwao.
 
kweli kabisa mkuu maana hilo eneo hospital hio ya mkoa ilikua ya kwao
,morogoro secondar ilikua yao,kigurunyembe sec. Kilakala, kigurunyembe chuo cha ualim, bigwa sec vyote vilikua vyao.
 
Nawatakie Eid njema wakuu.
niliwahi kusikia kuwa zamani jimbo katoliki morogoro ndio walio kuwa wamiliki halali kuanzia hospitali kuu mpaka bigwa kwa makadirio ni km 15. Na hakuka na eneo la mtu au taasisi yoyote katikati hapo.
ningependa kujua kama ni kweli na iliwezekanaje?
Inawezekana maana miaka 20 ukianzia hapo kanisani kwenda bigwa hapakuwa na kitu zaidi ya Mapori tu pia tambua kanisa katoliki ni Bourgeoisie so wakiweka kambi sehemu ujue basi wanahakikisha na ardhi watayohimiliki ni maekali ya maana kila kitu wanafanya within himaya yao ufugaji mashule na kilimo huomohumo ndio maana ni matajiri Sana.
 
Nawatakie Eid njema wakuu.
niliwahi kusikia kuwa zamani jimbo katoliki morogoro ndio walio kuwa wamiliki halali kuanzia hospitali kuu mpaka bigwa kwa makadirio ni km 15. Na hakuka na eneo la mtu au taasisi yoyote katikati hapo.
ningependa kujua kama ni kweli na iliwezekanaje?
Nenda Peramiho ukajionee,sehemu kubwa ya mji inamilikiwa na wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom