JOSEPH MALULU
Member
- Jan 2, 2014
- 77
- 9
Je, ni sahihi kumkataza house girl asizungumze na ndugu zake, asitoke nje ya geti,asikae sebuleni, akienda kusali mpaka alindwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni sahih? Kumkataza house girl asizungumze na ndg zake, asitoke nje ya get,asikae seblen, akienda kusal mpaka alndwe
Je, ni sahihi kumkataza house girl asizungumze na ndugu zake, asitoke nje ya geti,asikae sebuleni, akienda kusali mpaka alindwe?
Yuko magereza ipi hiyo kati ya Segerea na Keko? Au ni la kule Ukonga?? Unazungumzia mabinti wa miaka hii ya ile ya kweusi? Kwa wa kileo kesho yake ataondoka. Sebuleni inawezekana asikae kwa kuwa kwa wale wenye uwezo kuna sebule zaidi ya moja. Kwa sebule yangu hawezi kukaa maana ni private!!! Kwa yao Yes atakaa kwa raha zake.
Sio sahihi kabisa.
Si sahihi, huu ni utumwa ila pia kuna baadhi ya mahouse girls wakipata uhuru tu wanajisahau na kufanya vitu wanavyojuwa wenyewe mfano wa kutembea na kila mwanamme mtaani wakati wenye nyumba wako kazini, kunusa chupi za baba wa nyumba na kuzipaka dawa za kienyeji ili mama wa nyumba aachike achukuliwe yeye.