Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,330
Hivi ukipaka Nywele zikaota kisha ukaacha si zitanyonyoka kwa hasira sana hadi ujute?Natamani niweke picha yangu before and after.. Sema itareveal identity yangu
Naona kwangu kinakuja kwal kasi...ngoja nikiwahi!maana kinaniharibia bajeti kwa kuvaa kofia
Kuna mtoto wa ndugu yangu ana 12 years anaota kiparaNatamani niwape kaka zangu espeshale yule mdogo, mtu yupo early 30s tayari kipara kimeshaota khaa
Kuna mtoto wa ndugu yangu ana 12 years anaota kipara
. Mpaka nakaonea hurumaDaAh aisee
Haahaahaa kwann sasa?nywele zinanyonyoka acha tu!Ahahahhhaahaaahahah hahshahhahahahhahah
Hahahahahhaahhahhahhahahahahahhahahaa
Acha ufala mkuu.
Inawezekana kweli, ila siyo kuwaza papuchi ndio kipara kianze kuja.Nipo around 34 nywele zimeisha kichwani ngoja nijaribu ukiwa unawaza Sana sjui hili husababisha nywele kutoka kichwani
Eti kuwaza papuchi.Inawezekana kweli, ila siyo kuwaza papuchi ndio kipara kianze kuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba picha pm plse.Natamani niweke picha yangu before and after.. Sema itareveal identity yangu
Ni ya mba but inamatokeo chanya kwenye uotaji wa nywele.. Trust me
Kuna mtoto wa ndugu yangu ana 12 years anaota kipara
Du huyu balaa, akifikisha 30, hana nywele kabisa itakua poa sana saluni haendi