Kwa wenye vipara au vipara vinavyoanza

Natamani niweke picha yangu before and after.. Sema itareveal identity yangu
 
yamejaa tele madukani hasa yale yanayouza vipodozi na bei yake kuanzia 3,500/= ikizidi sana 5,000/=
 
Aisee katika vitu ninavyovihusudu basi ni kipara changu..! Yaani nakipenda mpaka nabanwa na haja

Kila nikijiangalia kwenye kioo naona namna ninavyotokelezea na masculinity ya akina Jason Statham pamoja na bruce wills basi nazidi kufurahia kipara changu


Eti wabanwa na haja
 
Sulfur sio salama kwa ngozi yako Im sure japo sio tabibu
IMG_20181221_110206.JPG

How to Use Sulfur Powder for Hair | Livestrong.com
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom