Kwa wenye vipara au vipara vinavyoanza

Aisee katika vitu ninavyovihusudu basi ni kipara changu..! Yaani nakipenda mpaka nabanwa na haja

Kila nikijiangalia kwenye kioo naona namna ninavyotokelezea na masculinity ya akina Jason Statham pamoja na bruce wills basi nazidi kufurahia kipara changu
 
kipara ni nature ,kama asili yenu kwenu kuna vipara utakomaza utosi tu kwa madawa ,kwani kipara kina tatizo gani mpaka kupambana nacho.
sory kama nimekuharibia biashara yako mkuu
Nakubaliana nawe mkuu mie hata miaka 20 sijafika nina kipara changu cha kurithi na hakijawahi kunipa stress kabisa haya masuala ya madawa ya kuleta nywele lazima yawe na side effect tu
 
Nakubaliana nawe mkuu mie hata miaka 20 sijafika nina kipara changu cha kurithi na hakijawahi kunipa stress kabisa haya masuala ya madawa ya kuleta nywele lazima yawe na side effect tu
Kipara ni kama kitambi.. Kuna wanaovipenda na kunawanao vichukia.. That is it
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom