Wapi nitayapata mkuu mtui?Yatafute haya mafuta.. Tumia ndani ya miezi miwili uje utuletee mrejeshoView attachment 973513View attachment 973514
Nipo around 34 nywele zimeisha kichwani ngoja nijaribu ukiwa unawaza Sana sjui hili husababisha nywele kutoka kichwaniYatafute haya mafuta.. Tumia ndani ya miezi miwili uje utuletee mrejeshoView attachment 973513View attachment 973514
Magonjwa ya ngozi na ukosefu wa virutubisho husababisha nywele kuwa weak... Hvyo kutoka kwa urahisi kichwani. Jaribu hayo am sure yataleta difference.. Mm nmeyatumia kipara kimesepa.Nipo around 34 nywele zimeisha kichwani ngoja nijaribu ukiwa unawaza Sana sjui hili husababisha nywele kutoka kichwani
Asante nitanunua nianze kutumia Leo ngoja nitafte Kama nitapataMagonjwa ya ngozi na ukosefu wa virutubisho husababusha nywele kuwa weak... Hvyo kutoka kwa urahisi kichwani. Jaribu hayo am sure yataleta difference.. Mm nmeyatumia kipara kimesepa.
Kama kishakolea je inasaidiaMagonjwa ya ngozi na ukosefu wa virutubisho husababisha nywele kuwa weak... Hvyo kutoka kwa urahisi kichwani. Jaribu hayo am sure yataleta difference.. Mm nmeyatumia kipara kimesepa.
Natamani niwape kaka zangu espeshale yule mdogo, mtu yupo early 30s tayari kipara kimeshaota khaa
Yanapatikana wapiiiii???Magonjwa ya ngozi na ukosefu wa virutubisho husababisha nywele kuwa weak... Hvyo kutoka kwa urahisi kichwani. Jaribu hayo am sure yataleta difference.. Mm nmeyatumia kipara kimesepa.
Daah changamkamimi nna 22 kimeanza kunisakama
kipara ni nature ,kama asili yenu kwenu kuna vipara utakomaza utosi tu kwa madawa ,kwani kipara kina tatizo gani mpaka kupambana nacho.
sory kama nimekuharibia biashara yako mkuu