Kwa wenye vipara au vipara vinavyoanza

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,329
Yatafute haya mafuta.. Tumia ndani ya miezi miwili uje utuletee mrejesho
IMG_20181221_071053.JPG
IMG_20181221_071043.JPG
 
Nipo around 34 nywele zimeisha kichwani ngoja nijaribu ukiwa unawaza Sana sjui hili husababisha nywele kutoka kichwani
Magonjwa ya ngozi na ukosefu wa virutubisho husababisha nywele kuwa weak... Hvyo kutoka kwa urahisi kichwani. Jaribu hayo am sure yataleta difference.. Mm nmeyatumia kipara kimesepa.
 
Magonjwa ya ngozi na ukosefu wa virutubisho husababusha nywele kuwa weak... Hvyo kutoka kwa urahisi kichwani. Jaribu hayo am sure yataleta difference.. Mm nmeyatumia kipara kimesepa.
Asante nitanunua nianze kutumia Leo ngoja nitafte Kama nitapata
 
Magonjwa ya ngozi na ukosefu wa virutubisho husababisha nywele kuwa weak... Hvyo kutoka kwa urahisi kichwani. Jaribu hayo am sure yataleta difference.. Mm nmeyatumia kipara kimesepa.
Yanapatikana wapiiiii???

Mimi natumia ya t444z naaona mabadiliko kwa mbaaali sana.

Haya naweza yapata wapi ili niyatumie?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom