Kwa wenye uzoefu

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,696
1,062
Habarini za jioni.
Msaada wa mawazo tu katika hili, wewe mume unaishi na mkeo, then your mom amekuja now ana miezi 3, just likizo.
Mkeo ana tabia ya kumpa mama hela ya personal use every now and then akipata lakini amekua anakwambia juu ya hilo hata kiasi ikibidi.

Mama amekua na tabia ya kukuomba hela even 2 days baada ya mkeo kumpa, mara ya kwanza hukuhoji ukadhani labda amepata emergency na akaona asirudi kuchukua hela kwa mkeo.

Hali imekua ikirudia sasa juzi mama ameomba hela tena kwako ya matumizi mkeo akiw katoka, ikakuropoka ukauliza mama kwani umeishiwa hela, jibu ndio, mama chanja si alikupa juzi, jibu hakunipa.

Swali,
Ukiwa kama mume utachukua hatua gani juu ya situation nzima.
Utahisi mama ni muongo kwa mkewe au mkeo anadanganya kumpa mama hela na hampi
Nini kifanyike kusolve huo utata.

Nawasilisha
 
Si umesema yupo likizo tu?? Mvumilieni tu haina haja ya kuanza kuhojiana kwa hela ndogondogo za matumizi....wengine huwa inakuwa mitego tu apate sababu ya kukutangaza
 
Duh!! Hayo mambo hata usihoji mkeo akitoa na wewe toa tu wala usitake kuhoji mama zetu hawa ndivyo walivyo japokuwa inaudhi sana.

Mfano halisi ni kwangu niko na mama mkwe yupo kimatibabu sasa ni zaidi ya miezi 8 ana mtoto wake huyo wa kwanza si haba mambo safi zaidi sasa kila akikutana naye mostly weekend lazima amchape na kilo kadhaa,hubby naye anamwachia hela,watoto wengine wakikutana nao si haba wanajitahidi kwa kias chao,lakini bado ataniambia hana hela nimsaidie vocha mtoto wa kike sina hiana nampa tu tena zaidi, kila siku ana kazi ya kuhesabu mahela yake mpaka yanampa presha.

Wewe toa tu kulinda amani ya nyumba ukihoji sana utawachukia wengi.
 
my dear,shida si kiasi tunachompa nawaza tu tafsiri yake,kwamba mke mchoyo anamdanganya mmewe kumbe hatoi cela kwa Mama au mume, mimi naona Kama Mama hathamini kinachotoka kwa mkwewe So beta mke ajitoe kwenye ishu zote za Mama amuachie manie
 
Ndo maana hapo chini nimekwambia usihoji sana utachukia wengi,hawa mama zetu wana shida sana wewe yaache tu jinsi yalivyo kwani hata mkeo akisikia kwamba mkwe wake anasema hatoi itakuwa ni donda kubwa sana kwake na roho yake itachafuka sana,yaache tu kama yalivyo alimradi halikuui tupa kuleeee!!
 
Hivi we mdada umeolewa au umeachika??

Nikirudi kwenye mada, huyo ajuza mnampa hela kwa matumizi yapi haswa na wakati yupo nyumbani kwenu?

Hali, hanywi, havishwi n.k?

my dear,:-shida si kiasi tunachompa nawaza tu tafsiri yake,kwamba mke mchoyo anamdanganya mmewe kumbe hatoi cela kwa Mama au mume, mimi naona Kama Mama hathamini kinachotoka kwa mkwewe So beta mke ajitoe kwenye ishu zote za Mama amuachie manie
 
[SUB][/SUB
watu8,muda Wa kuachika bado tgo unakaribia, hebu nipeko bas experience yako wafanyaje kwako
 
Lakin Swala Lakumpa Pesa Kilasiku Kwani Hamumwachii Chakula Nyumbani? Au Anamatumiz Gan Kwasiku?Kwakuwa Mmeshamjengea Tabia Yakumwachia Pesa Kilasiku Iweni Makini Sana, Pesa Hiyohiyo Mliyokusudia Iwape Thaman Kwake, Itawagombanisha Msipokuwa Makini, Unaweza Kumpa Mkeo Pesa Ili Ampe Mama Naanapompa Muwepo Wote Pamoja Ili Ushuhudie Kumfanya Mama Akose Namna Yakuwachonganisha, Sababu Nikionacho Mama Anataka Akwambie Mkeo Hanijali, Hanitunzi, Hanipi Pesa Wakati Mkeo Nimwema, Becarafully!
 
Kama unaona shida kuishi na mama mkwe wa kizazi uhuru.Basi usiache kufikiri shida itakayo wakuta pale wewe utakapo kuwa mamakwe!
 
Lakin Swala Lakumpa Pesa Kilasiku Kwani Hamumwachii Chakula Nyumbani? Au Anamatumiz Gan Kwasiku?Kwakuwa Mmeshamjengea Tabia Yakumwachia Pesa Kilasiku Iweni Makini Sana, Pesa Hiyohiyo Mliyokusudia Iwape Thaman Kwake, Itawagombanisha Msipokuwa Makini, Unaweza Kumpa Mkeo Pesa Ili Ampe Mama Naanapompa Muwepo Wote Pamoja Ili Ushuhudie Kumfanya Mama Akose Namna Yakuwachonganisha, Sababu Nikionacho Mama Anataka Akwambie Mkeo Hanijali, Hanitunzi, Hanipi Pesa Wakati Mkeo Nimwema, Becarafully!

hapewi kila siku , ni pale tunapoona inafaa, anaweza tamani chochote jamani, sio kwamba ni hela ya chakula
 
Huu ujinga wa kumuhusisha Mama kwenye haya mambo sina.
Mtu kakuzaa, kakulea, kakusomesha leo hii ndo mkeo aje kupimana naye uwezo?
Aiseeeeh!!! Heshima mbele kwa mama yangu, kwani hata mama yako nitamuheshimu mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom