Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,062
Habarini za jioni.
Msaada wa mawazo tu katika hili, wewe mume unaishi na mkeo, then your mom amekuja now ana miezi 3, just likizo.
Mkeo ana tabia ya kumpa mama hela ya personal use every now and then akipata lakini amekua anakwambia juu ya hilo hata kiasi ikibidi.
Mama amekua na tabia ya kukuomba hela even 2 days baada ya mkeo kumpa, mara ya kwanza hukuhoji ukadhani labda amepata emergency na akaona asirudi kuchukua hela kwa mkeo.
Hali imekua ikirudia sasa juzi mama ameomba hela tena kwako ya matumizi mkeo akiw katoka, ikakuropoka ukauliza mama kwani umeishiwa hela, jibu ndio, mama chanja si alikupa juzi, jibu hakunipa.
Swali,
Ukiwa kama mume utachukua hatua gani juu ya situation nzima.
Utahisi mama ni muongo kwa mkewe au mkeo anadanganya kumpa mama hela na hampi
Nini kifanyike kusolve huo utata.
Nawasilisha