Kwa wenye uzoefu na usaili wa utumishi msaada plz

Asante sana ndugu mungu akuzidishie umekuwa msaada kwangu ushauri wako umenipa mwanga sana may our living God be with u alwayz thanx nakuomba uniombe nifanikiwe
Criteria: Elezea kuhusu strength yako, una kitu/tabia/uzoefu gani wa zaida ambao unaweza kuwa na msaada kwa taasisi unayoomba kazi ? Ethics in civil service/maadili katika utumishi wa Umma......Kutoa huduma bora, Utii kwa Serikali, Bidii ya kazi, Huduma bila upendeleo, Bidii ya kazi, kuwajibika kwa Umma, kuheshimu sheria, matumizi sahihi ya taarifa. Kumbuka kama interview itakuwa katika lugha ya Malkia itakubidi uyaelewe katika lugha hiyo. Nakutakia interview njema. Siku hiyo vaa kama mtumishi wa Umma anayejiheshimu kulingana na jinsia yako. Avoid overdressing.
 
Asante sana ndugu mungu akuzidishie umekuwa msaada kwangu ushauri wako umenipa mwanga sana may our living God be with u alwayz thanx nakuomba uniombe nifanikiwe

Asante kushukuru. Sifa apewe Mungu aliyenipa uhai hadi ninapowasiliana na wewe.
 
Asante mkuu
Aisee pettymarcel,
Ushaenda kwenye hiyo interview?! Kama hujaenda, basi usiende kabla hujafahamu yafuatayo:
1. Nini maana ya maadili ya Umma?
2. Taja aina ya maadili ya Umma
3. Nini maana ya MKUKUTA?
4. Nini mafanikio ya MKUKUTA?
5. Nini malengo ya MKUKUTA
6. What's MKURABITA?
7. Ni zipi kazi za Afisa Tarafa?
8...........
9.............Ongezeni wadau.....!
8.
 
Mungu akuzidishie mkuu kama unakumbuka mambo mengine plz nipeni jaman bado sijafanya usaili mungu akuzidishie
Aisee pettymarcel,
Ushaenda kwenye hiyo interview?! Kama hujaenda, basi usiende kabla hujafahamu yafuatayo:
1. Nini maana ya maadili ya Umma?
2. Taja aina ya maadili ya Umma
3. Nini maana ya MKUKUTA?
4. Nini mafanikio ya MKUKUTA?
5. Nini malengo ya MKUKUTA
6. What's MKURABITA?
7. Ni zipi kazi za Afisa Tarafa?
8...........
9.............Ongezeni wadau.....!
8.
 
Back
Top Bottom