Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

Kiwanja kilichopimwa square meter 500sq. dodoma kwa Bei ya 1.5 milioni maeneo ya image karibu na mkonze, nkuhungu mnadani au nkuhungu karibu na tanesco mpya, Martin Luther mbele karibu na nane nane au swaswa ya juu near na area D... Naomba nipate Kama kipo,.
 
Kwa bei ya 1,500,000/= Kwa maeneo uliyo yataja..... mimi binasfi siwezi kupata kiwanja kama ulivyo elekeza.
Asante na karibu tena mkuu
 
Kwa wenye uhitaji wa mashamba na viwanja ambavyo havija pimwa ndani ya jiji la Dodoma....
Maeneo yanapatikana Zuzu, Ihumwa, Nala na Mtumba.
Wasiliana nami kwa sim/whatsap namba 0758383624, nami nitaku kutanisha na mmiliki wa shamba/kiwanja ili mfanye mazungumzo.
Karibuni sana....
 
Mtumba kwa hiyo Bei vipi napata
Bilashaka unaweza ukapata, lakini patakua hapaja pimwa chief.
Pia kumbuka Mtumba ndipo penye panajengwa mji wa Serikali, hii imekua moja kati ya sababu zenye zinapaisha Mtumba na Ihumwa kwa kasi inayo pita awamu hii
 
Nimefikiri ivo naweza pata squater maana dodoma nimekaaga sana nikiwa dalali Kama wewe nikaacha baada ya miundo mbinu mibovu ya kazi, yaani unakuta amna vipengele vinavyo mlinda dalali full mteja kumzunguka na kukutana na mmiliki....
 
Kwa kilimo cha zabibu, ni vyema ukapata shamba eneo linaloitwa Zuzu, ni kilometres 8-9 kutoka Dodoma mjini. Ni njia ya kuelekea kwa Mizengo Pinda.
Ama upate maeneo ya kupita Veyula/Makutopola, kama umbali wa 14-20 kilometres kutoka Dodoma mjini barabara ya kutoka/kuelekea Arusha.
Pia kuna sehem niliwahi kuona kilimo cha zabibu kwa wingi sana huko Dar road baada ya kutoka Chamwino ambapo ni umbali wa karibu 32 kilometres kutoka Dodoma mjini.
Mkuu, karibu tuwasiliane call/whatsap 0758383624

Mkuu hujaweka wazi bei za makadirio ya shamba la zabibu kwa ekari moja.
 
Nimefikiri ivo naweza pata squater maana dodoma nimekaaga sana nikiwa dalali Kama wewe nikaacha baada ya miundo mbinu mibovu ya kazi, yaani unakuta amna vipengele vinavyo mlinda dalali full mteja kumzunguka na kukutana na mmiliki....
Mkuu, kwanza unatakiwa uwe very smart pindi unapo amua kuifanya hii kazi.
Mimi nimebuni mbinu zangu kadhaa ambazo zinaniwezesha kupata changu pasipo kuzungukwa na mteja. Ingawa pia sikatai mambo ya kuzungukana pia huwa hayakosekani, na maranyingi mambo kama hizo nazichukulia kama changamoto tu
 
Kweli mdau
 
Mkuu hujaweka wazi bei za makadirio ya shamba la zabibu kwa ekari moja.
Mkuu, kama ukihitaji shamba mimi ninacho kifanya ni kukutafutia muuzaji/mmiliki wa shamba.

Baada ya mimi kuku kutanisha na muuzaji, ninyi ndio mtapanga na kukubaliana bei. Baada ya ninyi kufanya makubaliano, basi mimi utanipa 10% ya kile utakacho lipia kama ujira wangu.

Kwakifupi mambo ya bei mimi sijui, na hata ikitokea basi ujue nilisikia mmoja wa wateja aliambiwa na muuzaji
 
Shamba/eneo lenye ukubwa wa 3400 meter za mraba. Eneo linalouzwa, lipo Ihumwa umbali wa kilometres 13 kutoka Dodoma mjini, na umbali wa kilometre 1 kutoka barabara kuu kutokea/kwenda Dar. Eneo linauzwa kwa shilingi milioni nne na laki tano (4,500,000)

Karibu nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa eneo husika.
Wasikiana nami kwa simu/whatsap 0758383624
 
Kiwanja/eneo (hakija pimwa) lenye ukubwa wa 3300 meter za mraba. Eneo linalouzwa, lipo Nala umbali wa kilometres 10 kutoka Dodoma mjini, na umbali wa meters 250 kutoka barabara kuu ya kutokea/kwenda Singida. Eneo linauzwa kwa shilingi milioni tatu (3,000,000)

Karibu nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa eneo husika.
Wasiliana nami kwa simu/whatsap 0758383624
 
Kiwanja/eneo (hakija pimwa) lenye ukubwa wa 3600 mita za mraba. Eneo linalouzwa, lipo Nala umbali wa kilometres 10 kutoka Dodoma mjini, na lipo karibu kabisa na shule ya msingi Nala, umbali wa meters 300 kutoka barabara kuu ya kutokea/kwenda Singida.

Eneo linauzwa kwa shilingi milioni tatu (3,000,000).
Karibu nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa eneo husika.
Wasiliana nami kwa simu/whatsap 0758383624
 
Kiwanja/eneo (hakija pimwa) lenye ukubwa wa 4000 mita za mraba. Eneo linalouzwa, lipo Mtumba umbali wa kilometres 16 kutoka Dodoma mjini. Shamba lipo umbali wa meters 100 kutoka barabara kuu ya kutokea/kwenda Dar. Eneo linauzwa kwa shilingi milioni nne (4,000,000).

Karibu nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa eneo husika.
Wasiliana nami kwa simu/whatsap 0758383624
 
Tafadhali wasiliana nami....
Kwa wenye uhitaji wa viwanja ambavyo havija pimwa, pamoja na mashamba ndani ya jiji la Dodoma.
Karibuni sana.
 
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa hekari mbili (6500 square meters). Shamba lipo umbali wa meters 300 kutoka barabara kuu ya kuelekea/kutokea Singida/Mwanza.

Shamba lipo eneo linaloitwa Nala, pana umbali wa kilometres 13 kutoka Dodoma mjini.

Shamba linauzwa kwa shilingi 6,000,000/=
Kwa mawasiliano WhatsApp / Call 0758383624, niku kukutanishe na mwenye eneo/shamba kwa mazungumzo.
 
Kiwanja kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni tatu na nusu(3,500,000).
Kiwanja kipo maeneo ya Nala, umbali wa kilomita 10 kutoka Dodoma mjini, na kipo karibu na chuo cha DECCA, kipo umbali wa mita 200 kutoka barabarani.

Kiwanja kina ukubwa wa 3700 skwea mita za mraba.
Kwa mwenye uhitaji karibu nikukutanishe na mmiliki wa kiwanja ili mfanye mazungumzo.

Karibu tuwasiliane kwa sim namba/whatsap 0758383624.
 
Duuh..mbona njia ya Iringa sioni ukitangaza mashamba
Pole na samahani ndugu mteja....
Kwa bahati mbaya sijakua na uwenyeji upande huo wa Iringa road.
Naomba kuangaliza shukrani..
 
Huko mtumba mbona kote kuna mipango ya serikali..hayo maeneo yana usalama gani?
Kiwanja/eneo (hakija pimwa) lenye ukubwa wa 4000 mita za mraba. Eneo linalouzwa, lipo Mtumba umbali wa kilometres 16 kutoka Dodoma mjini. Shamba lipo umbali wa meters 100 kutoka barabara kuu ya kutokea/kwenda Dar. Eneo linauzwa kwa shilingi milioni nne (4,000,000).
Karibu nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa eneo husika.
Wasiliana nami kwa simu/whatsap 0758383624

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom