Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

Ushimen njoo ujibu maswali kwenye huu uzi wako. Viwanja vya kuanzia hekari moja vilivyo karibu na barabara kuu na jirani na huduma muhimu za kijamii, bado vinapatikana huko Nala? Jiandae kupokea simu yangu ndani ya hii miezi michache ijayo.
Viwanja vipo mkuu, niwewe na uwezo wako tu
 
Huu uzi nasabusikraibu kabisa,maana nna viwanja na mashamba Dom,yasije kupigwa mimi sina habari,na hivi no CDA,no best angu Eng. Mlagiri,mimi nipo mbali,ni hatari tupu.
 
Habari wakuu..!!
Hii ni habari njema kwa wale wote wageni na wenyeji wenye uhitaji wa viwanja na mashamba ndani ya jiji la Dodoma.
Kinacho fanyika ni, mimi ninakutafutia kiwanja ama shamba ndani ya mkoa wa Dodoma. Kisha nitakukutanisha na mmiliki wa eneo husika na mtafanya mazungumzo ninyi wawili kuhusiana na bei.
Baada ya makubaliano yenu, mimi malipo yangu itakua ni asilimia kumi (10%) ya malipo mtakayo kubaliana.
Kwa wenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0758383624 sim ama whatsap.
Ushauri; ni vema ukaweka fixed cost kama malipo yako, pale biashara inapokamilika
 
Hii iliwahi kuleta shida mkuu, na nilijikuta pengine ninakuwa mzigo kwa wateja ama wataja wanakuwa mzigo kwangu.
Kiwango nilicho kiweka ili kila mmoja aridhie ni 10% ya makubaliano ikiwa mnunuaji na muuzaji wata afikiana kufanya biashara.
Ingawa wakati mwingine huwa tunazungumza pale panapokuwa na kiasi pungufu.
Ahsante kwa ushauri
 
Ukubwa wa kuanzia 600 square meter na kuendelea
Vinapatikana kwa bei gani?
Kila maeneo yana bei zake mkuu.
Ungeweka bayana hitaji lako lime elekeza maeneo yapi na umbali gani kutoka barabara ya kwenda wapi pamoja na liwe umbali gani kutoka katikati ya mji.
Hapa namaanisha kiwanja kilicho pimwa na hakijapata hati, kina bei tofauti na kiwanja chenye hati.
Yaani kiwanja kilichopo Nzuguni, bei yake ni tofauti na kiwanja kilichopo Kisasa.
 
Hii iliwahi kuleta shida mkuu, na nilijikuta pengine ninakuwa mzigo kwa wateja ama wataja wanakuwa mzigo kwangu.
Kiwango nilicho kiweka ili kila mmoja aridhie ni 10% ya makubaliano ikiwa mnunuaji na muuzaji wata afikiana kufanya biashara.
Ingawa wakati mwingine huwa tunazungumza pale panapokuwa na kiasi pungufu.
Ahsante kwa ushauri
Sawa, ni vema................maake nimewaza tu mtu kukupa 1.5M as a 10% of 15M, kwa kaz ya kumpa tu info akat yeye mwenyewe mshahara wake kwa mwezi ni 1.2M.....Inaleta sio kigugumizi, ni kwikwi kabsa,
 
Mkuu, kwanza naomba nikueleza kwamba hapa duniani hakuna kazi ndogo.
Na nilicho jifunza ni kwamba, wanao tumia akili kutafuta pesa wanapate faida kubwa/maradufu kuliko wanao tumia nguvu na akili za walio buni/anzisha/creators.
Mpaka nakipata hicho kiwanja, huwezi faham nimetumia muda gani na gharama kiasi gani.
Watu kama wewe ndio wale ambao huwa mnapigwa na madalali kwa kujiona wajanja na msiopenda kuambiwa ukweli.
Mkuu mimi nimeweka wazi hapa kwamba nakukutanisha na mmiliki na mnafanya mazungumzo nyie wawili, kisha unanilipa 10% yangu.
Lakini hapa wapo ambao yeye dalali ndie anakupeleka kwenye kiwanja na kisha mnafanya makubaliano na dalali, na hapo ndipo mnapo pigwaga pesa ndefu.
 
Sijawahi pigwa pesa na dalali,mambo yangu yote huwa nayapa Muda, nafanya kwa taratibu safi kabsa! Lawyers tu ndo huwa nafanya nao kazi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom