Kwa wenye malori tu njooni tufanye hii biashara

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,782
2,373
Kuna jamaa yangu anahitaji malori ya tani 30 kwa akili ya kuchukua korosho masasi kuzileta kurasini.
Bei ni 70,000 kwa tani.

Malipo ni 50% wakati unaenda kupakia na iliyobaki mtalipana mzigo ukifika Dar. Dereva atakuwa na escort ya mwakilishi wa mtu mwenye mzigo.

Zinatakiwa gari zaidi ya kumi.

Ukiona biashara inakulipa please njoo PM tupeane contacts
 
Hata kama utatoa 100K kwa tani bado hamna kitu. utoe gari tupu dar kwenda zaidi ya 500km upakie mzigo urudi nao Dar alafu ulipwe million tatu Really!
 
Back
Top Bottom