Kwa wenye magari ya kuweza kubeba kokoto kuna fursa

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
7,393
14,133
Habari watanzania!

Husika na kichwa cha habari kwa MTU aliye na Gari ya kuweza kokoto kuanzia cubic metre 10 na anapenda kuitumia zana yake kujipatia kipato nione.

Barabarani ni ya vumbi ama gravel ila inapitika. Umbali unaotoa kokoto ama crr materia mpaka eneo husika km 80. Bei ya cubic metre moja ni 30k Hela za kitanzania.mafuta ni ya Gari unapewa so hautumii mafuta yako. Uwezo wa kusomba ni juu yako kuwa utaenda ama utaleta ujazo gani kwa siku.

Eneo ni kwa babu wa loliondo aka Loliondo wilaya ya Ngorongoro Arusha .eneo la Waso .

Kama Unamjua ama unayo Gari usiiweke ikae bure ilete izalishe kwa manufaa ya Taifa letu.

Mkandarasi ana kazi nyingi kama unahitaji hata fursa ya kusambaza baadhi ya vifaa tuchekiane
 
Tunakupataje ?
 
Back
Top Bottom