Kwa wenye kupenda kuwa na nywele ndefu.njooni tujuzane jinsi ya kuzitunza

Mimi dawa siweki kabisa. Nabana mchicha na ninatumia products za Cantu za natural hair. Wanakati mwingine napaka castor oil au Alovela oil.
Mimi sipendi kuweka dawa Ila Sina namna maana nywele kuchana zinanitoa machozi mie nikaona Bora tu niweke dawa Sasa hivi ziko mgongoni, na ninatumia shapoo ya olive, na steaming ya beckon naweka kila week
 
Binafsi, napenda kukata nywele fupi. Walakini, nywele zangu kawaida hukua haraka. Ninaifanya iwe haraka zaidi na mafuta tamu ya mlozi.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom