Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

Ok Mkuu, nadhani ninakuelewa,. Hapa kazini kwangu nina mtu alipata shida ya masikio ukubwani. Anaweza kuongea, naye hivyo hivyo ukitaka muongee lazima muangaliane usoni wakati mnazungumza.

Pia anasimu yake maalumu,ni simu ya kazini na nyumbani anayo ya hivyo. Anaweza kupiga yeye kwenye simu yoyote, inavyofanya kazi ni kwamba ukiongea inaandika maneno kwenye screen na yeye anakuwa anasoma unachoongea kwenye screen na kukujibu kwa kuongea.

Audiologist wanatofautiana pia hivyo sikatai ukisema hapa Nyumbani hukupata msaada zaidi ya kukupa hearing aid zenye sauti kubwa labda pia hawakuelewa tatizo lako walidhani husikii tu, kumbe unahitaji kusoma lips pia ili uelewe. Basi sina msaada zaidi, nilidhani ungesaidika kwa namna nilivyoshauri.
Hiyo simu ni aina gani napenda kuifahamu kwa jina au picha
 
Inaitwa CAPTEL au Captioned Telephone uki-google utaiona, na uki- google images utaziona zipo aina nyingi,ila hiyo CAPTEL ndiyo mfanyakazi mwenzangu anatumia.
Sipo ofisini kwa sasa,ninge Piga picha nikuwekee hapa. Ila naamini uki google utaiona.
 
Katika jukwa hilihili kuna mtu aliweka uzi wa kutafuta watu wanaoweza kufanya kazi yoyote, jaribu kuutafuta.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ok Mkuu, nadhani ninakuelewa,. Hapa kazini kwangu nina mtu alipata shida ya masikio ukubwani. Anaweza kuongea, naye hivyo hivyo ukitaka muongee lazima muangaliane usoni wakati mnazungumza.

Pia anasimu yake maalumu,ni simu ya kazini na nyumbani anayo ya hivyo. Anaweza kupiga yeye kwenye simu yoyote, inavyofanya kazi ni kwamba ukiongea inaandika maneno kwenye screen na yeye anakuwa anasoma unachoongea kwenye screen na kukujibu kwa kuongea.

Audiologist wanatofautiana pia hivyo sikatai ukisema hapa Nyumbani hukupata msaada zaidi ya kukupa hearing aid zenye sauti kubwa labda pia hawakuelewa tatizo lako walidhani husikii tu, kumbe unahitaji kusoma lips pia ili uelewe. Basi sina msaada zaidi, nilidhani ungesaidika kwa namna nilivyoshauri.
Hiyo simu inaitwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom