Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

Mwaka jana ulikuwa na 25yrs mwaka huu una 24. Viziwi huwa sio waongo acha utapeli zwazwa wewe, mara utake kujiua kwa sumu mara sijui nini, toka kule

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna haja ya yote haya mkuu? Sometimes sio lazima kuchangia kama huna msaada wowote. Ona sasa hapa ulivyodhihirisha upumbavu wako. Ungekaa kimya nani angejua kuwa wewe ni mpumbavu?
 
Sijui jamaa nia yake ni nini .mwambie tukutane sasa uone siasa zake
Narudia Tena kukuambia ukaombe toba.
Jifunze kudhibiti kinywa chako.Maneno unayotoa Leo huwa hayafutiki.. Mungu anaweza samehe lakini madhara ya dhambi yakabaki.

Ujifunze kudhibiti huo mdomo wako,mdomo wako Ni laana yako Kama ukiutumia vibaya.

Hivi sasa unajisikiaje?
Kwanini usikae kimya Kama huna uhakika na kitu?
Kwanini usikae tu kimya Kama huna msaada ?
Kwanini usiwaache wengine walioguswa wachangie bila kuwatisha Tisha na maneno ya kejeli?

Jifunze kutokana na hili,jifunze kutunza maneno.Ungekaa kimya usingepungukiwa lolote ,
Ona Sasa Leo unajisikiaje?
Jifunze ubinadamu
Jifunze kuheshimu Watu.
Hiyo Roho ya kudhihaki ikemee
Huo mdomo mchafu haukusaidii kwa lolote,ukiendelea nao utakupeleka motoni.
Ukaombe toba,ukaombe toba,ukaombe toba.
Hii dhambi haitakuacha Hadi umetubu.

Nimeumizwa Sana na hizi dhihaka zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ambae hujisikii amani umemsaidia nn
Sikuweza kuona hizo nyuzi zake, na hata kama ningeziona nisingeandka upuuzi kama wako, kaa ujitafakar na ikiwezekana kafanye toba maana kwa comments zako umechangia kumuongezea marehemu msongo wa mawazo uliopelekea kifo chake

Unapoona uzi wowote hasa wa kuhitaji msaada kama unahisi huna msaada bora ukae kimya tu nao ni msaada tosha eti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hizi taarifa ni za kweli, ni lazima kuna namna wajumbe wa JF tuwe sana makini na kauli zetu jamani, kuna watu wanakuja humu they're seriously troubled na maskiini wanaishiwa kudhihakiwa, akishafariki ndiyo watu wanajifanya wanaanza kutia tia huruma humu while hata neno la faraja hawakumpa kipindi akiwa hai..!
Wameshindwa kumpa moyo ndugu zake tutaweza sisi?

Ameshindwa kuiona faida ya maisha yake mwenyewe ndio tumwonyeshe sisi?

Naskia alizaa mtoto. Yani na kutongoza na kupiga pipe aliweza kashindwa kupambana in life?

Mtu kishaamua kujitoa ajitoe tu.
 
I've been strong all this time but your comment made me cry..!
Maybe you've never been there in life that's why you'll never understand this, it's not your fault.!!

May Lord's mercy be upon you.!
 
Mbaya zaidi anajifanya kiziwi Exceptional. Kuwa anasikia lakini haelewi Hii JF sijui imekuwaje. Haya mambo ndo ua akina aise kuwashika masikio watu wote
Hujafa hujaumbika Mwenyewe nina shida hiyo, ili nikuelewe unatakiwa kuwa mbele yangu nisome lips, huyu ndugu anasema ukweli kabisa kwa mimi napataga shida kutofautisha maneno yanayosound Sawasawa mfano Tano na Tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I've been strong all this time but your comment made me cry..!
Maybe you've never been there in life that's why you'll never understand this, it's not your fault.!!

May Lord's mercy be upon you.!
Dada una shida, unalia kirahisi hivyo? Kaza roho.

Aliyeamua kaamua. Keshajiona useless hapa duniani kaamua kuterminate his existence.

Mimi na wewe ni nani hata tubadili matakwa ya Mungu kwa kiumbe chake?
 
We jamaa una akili timamu kweli??
Hilo tatizo linahusikaje na kuzaa mtoto na mwanamke??
Unahisi kila mtu anao ndugu wa kutoa msaada wa kifedha na mawazo Kama ulivyo wewe?
Wameshindwa kumpa moyo ndugu zake tutaweza sisi?

Ameshindwa kuiona faida ya maisha yake mwenyewe ndio tumwonyeshe sisi?

Naskia alizaa mtoto. Yani na kutongoza na kupiga pipe aliweza kashindwa kupambana in life?

Mtu kishaamua kujitoa ajitoe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujafa hujaumbika Mwenyewe nina shida hiyo, ili nikuelewe unatakiwa kuwa mbele yangu nisome lips, huyu ndugu anasema ukweli kabisa kwa mimi napataga shida kutofautisha maneno yanayosound Sawasawa mfano Tano na Tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbaya zaidi hali hii kuizoea na kujikubali kwenye jamii inakuchukua muda sana Dah aiseee acha tu nakumbuka kuna dada mmoja alinikebei kisa kimahusiano nikamwambia dada hii hali sikununua na wala sijapenda niwe hivi after 2 day yule dada alipata ajari na kuvunjika mguu ikabidi nionekane mm ni mchawi Malipo hapa hapa duniani acha wanaotoa lugha chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom