Kwa wenye 50 and above: Mi hata sijui tena............wewe je! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wenye 50 and above: Mi hata sijui tena............wewe je!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eeka Mangi, Jan 14, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ah bwana mi hata sijui tena! Anajibu jamaa mmoja baada ya kuulizwa na mwenza. Jamaa anasimulia alivyokuwa sensitive miaka hiyo. Anasema akiwa na 15yrs akiona ile nguo ya ndani ya ke anamaliza kazi. Alipokwenda O level alipenda sana busu! Kisha wakaanza kumnong'oneza sikioni saa nyingine ulimi unamgusa sikioni. Ikawa raha sana. Zikaongezeka staili mbalimbali. Ameoa na sasa ana watoto. Kwa umri wa miaka 50 sasa hajui tena ashikwe wapi ili asikie raha! Anafanyia mazoea tu hajui tena! Wewe unazo sehemu muhimu bado?
   
 2. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwanza heri ya mwaka mpya.
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Asante dear. Mlimaliza salama?
   
Loading...