Kwa website hizi kazi bado ipo

geek

Member
Feb 12, 2009
83
4
Nimeangalia kwa karibu website za media organisations za Tanzania, pattern inayojitokeza ni kwamba pamoja na kuwa na poor editorial content, lakini pia kuna kila dalili za shody designs na dodgy optimisation.

Mathalan, siku hizi feeds ni sehemu muhimu ya website inayofanya regular updates (atom + rss feeds, etc - inakuwezesha kupata story the moment inakuwa published bila hata kwenda website husika). Katika top 5 wesbites za news Tanzania, hakuna hata moja inayotumia feeds au live bookmarks.

Nenda ippmedia, dailynews, mwananchi, raiamwema na mengineyo - utakuta hawafanyi mambo hayo ambayo kwa website ya kisasa ni muhimu sana.

Ipp kwa mfano, hawajui search engine optimisation, story zao hazina individual links - ukifungua kila story default url ni ippmedia.com.

Katika kuonyesha ubunifu, jamaa wa globalpublisherstz wanatumia feeds na features nyingine zinazofanya wawe bora kuliko serious news providers.

Hizi sites zinatumia templates ambazo wameshindwa kufanya customisations ku-improve display + navigation.

Mchanganyiko wa text + picha ni ovyo, broken links, ni mambo tunayaona kila siku.

Swali: Ni kukosa ubunifu? Au website haziwapi faida kiuchumi kiasi hawaoni sababu ya ku-improve? Au ni ukosefu wa leadership katika organisations husika?

Jamani kuna mambo magumu kifedha na kiteknolojia, lakini hata haya tunashindwa?
 
Una maanisha nini unavyosema Globalpublishers wamejitahidi kuliko Serious news Publishers Tafadhali rekebisha msemo wako
 
Jiulize ni nani designer wa website ya shigongo, huenda kuna watu wako kibiashara zaidi.
 
Wabongo mbona tuko hivi kukosoana bila kujengan!?? Jamaa katoa mchango wake japo kwa machungu; na ni jambo ambalo hata sisi tunalijua ni ukweli websites zimechapa! tutoe michango yetu kwani baadhi ya wahusika wako humu jamvini!
Au tuseme ndo nyie wahusika sasa mmekerwa na maoni yake...!??
Tubadilike!
 
nakuunga mkono ebbynature. tubadilike watanzania,sio kukosoa tu kila kitu hasa kwa mambo ya kitaalam kama haya yanayowekwa jamvini na wanajamii wenzetu
 
Aanze yeye mwenyewe kwanza kwa kulalamika bila suluhisho pamoja na kutoa kauli chafu alivyoandika globalpublishers habari zao sio serious unataka nani asome akubaliane na kauli kama hizo
 
Nimeangalia kwa karibu website za media organisations za Tanzania, pattern inayojitokeza ni kwamba pamoja na kuwa na poor editorial content, lakini pia kuna kila dalili za shody designs na dodgy optimisation.

WE are not serious; thats all!:rolleyes:
 
Sio websites za media houses tu hata institutions; tembelea website ya polisi sasa ivi utatamani kulia; Nakuambia hiyo hiyo ndo Info point ya jeshi letu katika cyber world sasa linganisha yetu ya kitaifa na ile LAPD ama NYPD amabzo ni za kimkoa; na ndivyo angalau tulipaswa kuanzia! Unajiuliza kama utaalamu umetumika vilivyoa ama ni deal mtu alipewa ili bajeti itumike!
 
Una maanisha nini unavyosema Globalpublishers wamejitahidi kuliko Serious news Publishers Tafadhali rekebisha msemo wako

Huwezi kuweka league moja globalpublishers ambao content yao ni tabloidish ukawalinganisha na DailyNews + Ippmedia + Mwananchi ambao wanaandika serious stories. Hivyo ndiyo tunavyo-categorise news outlets, no offence, sorry nilitumia technical language.

Ni kama Shy ukasema "backend" kuelezea maswala ya kompyuta, kuna watu watadhani umetukana. Lakini tusipoteze mwelekeo wa mjadala, website za news hapa Bongo ni ovyo.
 
Nimeangalia kwa karibu website za media organisations za Tanzania, pattern inayojitokeza ni kwamba pamoja na kuwa na poor editorial content, lakini pia kuna kila dalili za shody designs na dodgy optimisation.

Mathalan, siku hizi feeds ni sehemu muhimu ya website inayofanya regular updates (atom + rss feeds, etc - inakuwezesha kupata story the moment inakuwa published bila hata kwenda website husika). Katika top 5 wesbites za news Tanzania, hakuna hata moja inayotumia feeds au live bookmarks.

Nenda ippmedia, dailynews, mwananchi, raiamwema na mengineyo - utakuta hawafanyi mambo hayo ambayo kwa website ya kisasa ni muhimu sana.

Ipp kwa mfano, hawajui search engine optimisation, story zao hazina individual links - ukifungua kila story default url ni ippmedia.com.

Katika kuonyesha ubunifu, jamaa wa globalpublisherstz wanatumia feeds na features nyingine zinazofanya wawe bora kuliko serious news providers.

Hizi sites zinatumia templates ambazo wameshindwa kufanya customisations ku-improve display + navigation.

Mchanganyiko wa text + picha ni ovyo, broken links, ni mambo tunayaona kila siku.

Swali: Ni kukosa ubunifu? Au website haziwapi faida kiuchumi kiasi hawaoni sababu ya ku-improve? Au ni ukosefu wa leadership katika organisations husika?

Jamani kuna mambo magumu kifedha na kiteknolojia, lakini hata haya tunashindwa?
website hazilipi kaka! huendeshwa na matangzo, angalia ippmedia utaona nafasi za kutangaza kibao ila hawajui wanavyozi-modernize ndo zitavuta wateja! Waache wazubae the citizen are about to change theirs watazomba wateja wote!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom