kwa wazazi wa zaidi ya mtoto mmoja je hii ni kweli?

Muangila

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,909
2,000
wadau nina mtoto wangu mdogo mwenye umri wa miaka 4 wakati huo mama yake ana ujauzito wa miezi 7 kama cku 7 zilizopita dogo aliaonyesha dalili za kuugua nikampeleka hospitali akakutwa na Maralia ingawa alipewa dawa na ana onyesha kupona lakini hataki kula mpaka kwa kumlazimisha kitu amabacho si kawaida yake,sasa katika kuongea na Mama yangu mzazi akaniambia eti mama mjamzito hatakiwi kukaa anamshikashika mtoto anayetarajia kumfuatisha kwa kuwa huwa inamletea madhara na akaniambia ndo kinamkuta mwanangu...sasa wazazi je hili jambo ni kweli lipo? na kama lipo nini dawa yake?
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,035
1,500
mmh, kwani bado ananyonya?
Kama hanyonyi haina madhara bana.

Labda ana minyoo.
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,157
2,000
siyo kweli mkuu ila ni imani potofu tu. labda nikupe sababu ambazo zinaweza kumsababishia mtoto kuumwa na mtu akazi relate na hali ya ujauzito wa mama.

mama anapokuwa mjamzito huwa kwa sababu ya uchovu, na maudhi ya mimba basi hupunguza concetration kwa previous babies. mara nyingi hujikuta anajishughulisha sana na maudhi ya mimba kuliko mtoto na kwa hili huwez kumuhukumu mama hata kidogo. sasa anapokuwa na hali hii mtt hujikuta akitengenezewa mazingira ya kujitetea mwenyewe like anaeza kuachwa acheze kwenye kochi sebulen mida ambayo mbu ni wengi na akawa na furaha tu, lkn hatma yake ni kuugua malaria. istoshe kwenye familia moja malaria ikiingia kwa mmoja basi kwa wengine ni rahisi sana kupayta kwani mbu huwauma kwa kupokezana so mara nyingi sana mama mjamzito hupata malaria na akasababisha wengine humo ndani kupata malaria.

point yangu ya msingi sasa kutokula kwa mtoto ni side effects ya dawa za malaria, lkn pia uangalizi wa jinsi ya kumlisha na aina za vyakula anavyokula mtoto. ushauri hapa mkeo aongeze apenzi kwa mtoto huyu lkn pia ajaribu kumbadilishia mtoto aina za vyakula na hata maeneo ya kumlishia ili mtt asikinai msosi. pia ampe dawa za minyoo pamoja na juice ambazo ziitamwongezea mtoto hamu ya kula.

pole sana na kamwe usimtenge mtoto na mama yake wewe baba waweza kuchukua jukumu la kumkumbatia na hata kumlisha mtoto huyu uwapo nyyumbani.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,749
2,000
Sio kweli kabisaaaaaaaaaaaa. Hizo ni myth tu. Tena mtoto mkubwa anapaswa kuendelea kupendwa ili asifikiri kijacho ni adui na amekuja kugombea share yake ya upendo kwa wazazi.
 
Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,976
1,195
ujauzito wa mama hauna uhusiano wowote na kuumwa kwake.
 
Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
5,897
2,000
siyo kweli mkuu ila ni imani potofu tu. labda nikupe sababu ambazo zinaweza kumsababishia mtoto kuumwa na mtu akazi relate na hali ya ujauzito wa mama.

mama anapokuwa mjamzito huwa kwa sababu ya uchovu, na maudhi ya mimba basi hupunguza concetration kwa previous babies. mara nyingi hujikuta anajishughulisha sana na maudhi ya mimba kuliko mtoto na kwa hili huwez kumuhukumu mama hata kidogo. sasa anapokuwa na hali hii mtt hujikuta akitengenezewa mazingira ya kujitetea mwenyewe like anaeza kuachwa acheze kwenye kochi sebulen mida ambayo mbu ni wengi na akawa na furaha tu, lkn hatma yake ni kuugua malaria. istoshe kwenye familia moja malaria ikiingia kwa mmoja basi kwa wengine ni rahisi sana kupayta kwani mbu huwauma kwa kupokezana so mara nyingi sana mama mjamzito hupata malaria na akasababisha wengine humo ndani kupata malaria.

point yangu ya msingi sasa kutokula kwa mtoto ni side effects ya dawa za malaria, lkn pia uangalizi wa jinsi ya kumlisha na aina za vyakula anavyokula mtoto. ushauri hapa mkeo aongeze apenzi kwa mtoto huyu lkn pia ajaribu kumbadilishia mtoto aina za vyakula na hata maeneo ya kumlishia ili mtt asikinai msosi. pia ampe dawa za minyoo pamoja na juice ambazo ziitamwongezea mtoto hamu ya kula.

pole sana na kamwe usimtenge mtoto na mama yake wewe baba waweza kuchukua jukumu la kumkumbatia na hata kumlisha mtoto huyu uwapo nyyumbani.
Kwanza nikugongea like
 
Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
477
195
Mtu anapopatwa na ugonjwa like malaria,anapoteza vitamins ambazo zinazomfanya apate hamu ya kula,na kila unachokiona unakiona hakifai. Vitamin b complex inakuwa prescribed kwa mgojwa ili arudishe hamu ya kula.
 
Muangila

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,909
2,000
siyo kweli mkuu ila ni imani potofu tu. labda nikupe sababu ambazo zinaweza kumsababishia mtoto kuumwa na mtu akazi relate na hali ya ujauzito wa mama.

mama anapokuwa mjamzito huwa kwa sababu ya uchovu, na maudhi ya mimba basi hupunguza concetration kwa previous babies. mara nyingi hujikuta anajishughulisha sana na maudhi ya mimba kuliko mtoto na kwa hili huwez kumuhukumu mama hata kidogo. sasa anapokuwa na hali hii mtt hujikuta akitengenezewa mazingira ya kujitetea mwenyewe like anaeza kuachwa acheze kwenye kochi sebulen mida ambayo mbu ni wengi na akawa na furaha tu, lkn hatma yake ni kuugua malaria. istoshe kwenye familia moja malaria ikiingia kwa mmoja basi kwa wengine ni rahisi sana kupayta kwani mbu huwauma kwa kupokezana so mara nyingi sana mama mjamzito hupata malaria na akasababisha wengine humo ndani kupata malaria.

point yangu ya msingi sasa kutokula kwa mtoto ni side effects ya dawa za malaria, lkn pia uangalizi wa jinsi ya kumlisha na aina za vyakula anavyokula mtoto. ushauri hapa mkeo aongeze apenzi kwa mtoto huyu lkn pia ajaribu kumbadilishia mtoto aina za vyakula na hata maeneo ya kumlishia ili mtt asikinai msosi. pia ampe dawa za minyoo pamoja na juice ambazo ziitamwongezea mtoto hamu ya kula.

pole sana na kamwe usimtenge mtoto na mama yake wewe baba waweza kuchukua jukumu la kumkumbatia na hata kumlisha mtoto huyu uwapo nyyumbani.
nashukuru kwa ushauri makini ndugu nitayazingatia haya
 
Top Bottom