Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kuna vifua husababishwa na mtoto kunywa maji ya fuko la uzazi wakati wa kuzaliwa, hivi vifua havina tiba huisha vyenyewe baada ya miaka 5 mpaka 7

Jr
Kamuone Dr wa Watoto,kun uwezekano mkubwa ana mzio (allergy) na kitu ambacho anatumia mara kwa mara probably vitu vinavyochanganyiwa kwenye uji wa lishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni kwa ushauri na mawazo mazuri, Baada ya kumpeleka kwa doctor wa magonjwa ya watoto nilicho ambiwa ni kwamba mwanangu ana allerg na vumbi, na itaisha akiwa na umri wa kuanzia miaka mi 5, na nilipewa dawa ambayo anaitumia mara kwa mara ya septrin.
 
Asante sana kwa mrejesho

Jr
 
WanaJF wenzangu mambo? Mtoto ana wiki 3 na siku 3 wa kiume, sifurahishwi na unyonyaji wake. Ana nyonya dk 4/5 tu anaacha ukimpa anatema, analala. dk 40 ndo kulala kwake. bibi ake anasema ananyonya maji meng kuliko maziwa, anatakiwa anyonye walau dk 20. mama ake maziwa yapo meng hadi yanamwagika. naomben msaada nifanyaje anyonye muda mrefu?

Nashauri onana na daktari bingwa wa watoto kabla ya kuja huku tafadhali au kama tunao madktari hapa wajitokeze waseme neno

Jr
 
naomba ushauri, mwanangu wa miezi miwili kuna muda anarudisha maziwa kwa njia ya pua, nifanye nini jambo hili lisitokee?
 
Position ya kumlisha nadhani si nzuri kwahiyo kuna muda njia ya kook inabanwa

Jr
 
Back
Top Bottom