mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Namna gani nzur kuagana na mtoto wakat wa kwenda kazini? Huwa Analia sana.
Kuna vifua husababishwa na mtoto kunywa maji ya fuko la uzazi wakati wa kuzaliwa, hivi vifua havina tiba huisha vyenyewe baada ya miaka 5 mpaka 7
Jr
Asanteni kwa ushauri na mawazo mazuri, Baada ya kumpeleka kwa doctor wa magonjwa ya watoto nilicho ambiwa ni kwamba mwanangu ana allerg na vumbi, na itaisha akiwa na umri wa kuanzia miaka mi 5, na nilipewa dawa ambayo anaitumia mara kwa mara ya septrin.Kamuone Dr wa Watoto,kun uwezekano mkubwa ana mzio (allergy) na kitu ambacho anatumia mara kwa mara probably vitu vinavyochanganyiwa kwenye uji wa lishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa mrejeshoAsanteni kwa ushauri na mawazo mazuri, Baada ya kumpeleka kwa doctor wa magonjwa ya watoto nilicho ambiwa ni kwamba mwanangu ana allerg na vumbi, na itaisha akiwa na umri wa kuanzia miaka mi 5, na nilipewa dawa ambayo anaitumia mara kwa mara ya septrin.
Nimepata elimu ya kutosha sana. Asante kwa Jr mshana na nyote. kwangu huu ndo uzi bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashauri onana na daktari bingwa wa watoto kabla ya kuja huku tafadhali au kama tunao madktari hapa wajitokeze waseme nenoWanaJF wenzangu mambo? Mtoto ana wiki 3 na siku 3 wa kiume, sifurahishwi na unyonyaji wake. Ana nyonya dk 4/5 tu anaacha ukimpa anatema, analala. dk 40 ndo kulala kwake. bibi ake anasema ananyonya maji meng kuliko maziwa, anatakiwa anyonye walau dk 20. mama ake maziwa yapo meng hadi yanamwagika. naomben msaada nifanyaje anyonye muda mrefu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashauri onana na daktari bingwa wa watoto kabla ya kuja huku tafadhali au kama tunao madktari hapa wajitokeze waseme neno
Jr
naomba ushauri, mwanangu wa miezi miwili kuna muda anarudisha maziwa kwa njia ya pua, nifanye nini jambo hili lisitokee?