Ni kweli mshana jr na hata sasahv bado makabila mengine (likiwepo letu) yanatahiri vijana porini wakiwa mostly 14-18 ages,na pia huko wanafunzwa ujasiri,adabu na heshima kwa kila mtu.
Phylosophy yangu naamini vibamia vinasababishwa na watoto kuvaa chupi na haya mapampasi tangu wadogo. Enzi zetu tulikuwa tunaanza kuvaa chupi darasa la saba, hivyo hiyo kitu kwa kuning'inia muda mrefu hurefuka. Si unaona ndugu zetu wa marubega ingawa siku hizi nao wanaiga umagharibi walivyo na mutulinga ya uhakika ( kwa jinsi nilivyokuwa nawaona siku hizo wakiwa na marubega)