Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Mimi kijana wangu niliyempata katika umri wa ujana hapendi shule kabisa Yuko darasa la nne. haandiki Wala hakusanyi madaftari kwa walimu,ameshapigwa Ila wapi.najaribu kuangalia tatizo litakiwa Nini maana alikuwa anasoma shule ya mbali nikamhamishia ya karibu Ila shida iko palepale. mitihani anafanya na anapata wastan mzuri Sana najiuliza nimfanyeje aweze kupenda shule.? Ni mbinu gani nitumie ili asome kwa utulivu?
Jiweke karibu,

Mtie moyo kuwa unafurahishwa kuona anavyoandika na unapenda mwandiko wake mwambie aandike hata kidogo, hata kama anamuelewa vyema.

Kupenda shule wengine tumekuja kupenda baada ya kumaliza shule.
 
Naomba msaada jamani mwanangu NI mvivu Sana wa kula. Nahangaika Mimi kuliko hata yeye... Kwa Sasa Anamika sita lakini ulaji wake tangu azaliwe unamashaka Sana... Kama si kula kwa kulazimisha basi atakula hata saa Zima. Naombeni ushauri jamani
 
Umempeleka kwa daktari?
Anakula vyakula aina gani (hata akila kwa kulazimisha) ?
Hali yake ya afya ikoje, je ana nguvu? Ni mchangamfu au anaonekana amedhoofika?

Wa kwangu alikuwaga hivyo sahivi miaka minane ana unafuu ingawa ni mgumu kula vyakula asivovijua lakini ana favourite zake ndo nampikia pamoja na kumpa vitamin kama ziada.

Nguvu anazo nyingi sana ila ndo hivo, mgumu kula.
 
Unamlisha vyakula gani? Hili tatizo lina tofautiana kwa watoto lakini sehemu kubwa niliyoona ni kwa sababu ya aina ya chakula
 
Ulishampeleka hospitali mara ngapi?Wa kwangu alikuwa hivyo hivyo ila baada ya kumpeleka hospitali sasa hivi huwa analazimisha kula chakula kikiwa jikoni hata kabla hakijaiva
 
Nimewahi kumpeleka hospitali Mara nyingi maana Sasa Ana miaka sita kwa sasa.kikubwa nilikuwa naapewa multivitamins na vitamin b complex. Chakula anachopenda kwa Sasa NI chips na vitu vikavu vikavu Kama dadaa wa KUKAANGA nyama na samaki... Na vyo anakula kiwango kidogo Sana.

Kwa habari ya afya yake SI mbaya saana maana ni mwembamba Sana lakin ngozi nzuri na si mtoto wa kuumwa umwa kabisa..... Kuhusu nguvu anazo nyingi Sana tu anacheza vizuri. Amechangamka na Hana udhoofu wowote.LAKINI KULA YAKE MPAKA ALAZIMISHWE HIVI HIVI ANAKUKA KIDOGO SAAAANA..
 
Mara nyingi Sana na daktari ninaemkumbuka alinambia nisimlazimishe mpaka ashibe Ila ale vyakula vya muhimu TU.... Hata Kama hajashiba Sana basi.. Ila inaumiza jamani unapika mtoto Hali... Nipeni hizo dawa mlitumia
 
Unamlisha vyakula gani? Hili tatizo lina tofautiana kwa watoto lakini sehemu kubwa niliyoona ni kwa sababu ya aina ya chakula
Ana miaka sita kwa Sasa Hana mlo wa peke take. Chakula anachokula Mara nyingi n uji asubuhi, chai,mchana wali au ugali, chips au ndizi matunda mbalimbali na mboga za MAJANI. Ninajaribu kubadilisha vyakula Mara nyingi lakin Hali Ile Ile.... N mtoto AMBAE pia anakulantaratibu Sana yaan akianza kutafuna hapo n masaaa.. chakula anachopenda n chips na juice
 
Mtafutie watoto wenzie kama wawili hivi wawe wanakula pamoja kwenye sahani moja niliona hii mbinu ilimsaidia mtoto wa kaka yangu.
 
Nimewahi kumpeleka hospitali Mara nyingi maana Sasa Ana miaka sita kwa sasa.kikubwa nilikuwa naapewa multivitamins na vitamin b complex. Chakula anachopenda kwa Sasa NI chips na vitu vikavu vikavu Kama dadaa wa KUKAANGA nyama na samaki... Na vyo anakula kiwango kidogo Sana.

Kwa habari ya afya yake SI mbaya saana maana ni mwembamba Sana lakin ngozi nzuri na si mtoto wa kuumwa umwa kabisa..... Kuhusu nguvu anazo nyingi Sana tu anacheza vizuri. Amechangamka na Hana udhoofu wowote.LAKINI KULA YAKE MPAKA ALAZIMISHWE HIVI HIVI ANAKUKA KIDOGO SAAAANA..
Kuna hata watu wazima ni wavivu kula. Jitahidi tu kumpa vyakula anavyopenda hata akila kwa kiasi kidogo huo ndio uwezo wa kula umefika mwisho ingawa wazazi wengi hatutaki kukubaliana na hili swala tunataka ale sahani nzima ukiyomkadilia wewe. Mbinu nyingine awe ni milo zaidi ya mitatu ambayo tumezoea kuwa nayo kwenye familia.

Jitahidi chakula chake kiwe kina well balanced diet ingawa watoto wengi hawapendi mboga za majani ila matunda wanapenda. Muongezee na multi vitamins na dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu. Kula sana au unene sio kwamba ndio afya.

Sio ushauri wa kitaalam ila kutokana na experience yangu ya kuwa na mtoto asiependa kula.
 
Asante Sana.. na katika hilo ulosema Mimi NI muhanga maana nikimuclacha bila kumpangia chakula anakuka tonge au vijiko vitatu anaotoka ameshiba. Huu ndio ushauri ulionisaidia tangu zamani... Kwamba ale balanced diet
 
Daktari alinambia hilo swala la kuwa kibamia sio kweli hasa hasa itamsaidia kupona haraka kuliko hadi awe mkubwa
Saa nyingine madaktari wanashauri ujinga ili tu wakuongeze kwenye log book waonekane wamefanya kazi mishahara iongezeke ........usiwe mwepesi Sana wa kuamini
 
Back
Top Bottom