Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

kwame nkuruma jr

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
301
1,000
Wakuu Kwa watu wanao ishi mikoa yenye joto ina shauriwa sio vizuri kuwasha Ac au feni sehemu ya kulala mtoto je kuna madhara gani iwapo uki washa hivyo vifaa na umri gani sahihi wa mtoto kuwashiwa ac au feni ??
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,404
2,000
Wakuu Kwa watu wanao ishi mikoa yenye joto ina shauriwa sio vizuri kuwasha Ac au feni sehemu ya kulala mtoto je kuna madhara gani iwapo uki washa hivyo vifaa na umri gani sahihi wa mtoto kuwashiwa ac au feni ??
Hivi vyote hasa AC hutoa ubaridi wa kutengeneza/bandia! Mwili wa mtoto mfumo wake wa hewa bado unakuwa haujakomaa hivyo kuweza kumletea athari kubwa za nimonia kifua nk
Feni nayo kama chumba sio kisafi sana hutimua vumbi na kumfanya mtoto alivute na kupata athari
 
ipogolo

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
6,152
2,000
nimeyasoma nikaona ni mawaidha mazuri kwa malezi ya mtoto kwani kizuri ni vema tukapeana dini zote hakuna cha ziada Zaidi ya kutufundisha upendo tukilitambua hilo wala hatutachukiana bali tutachukua mazuri ya kila upande kwa lengo la kutujenga na kuwa jamii bora bila kujali tofauti ya dini zetu
Posuta! Kasimba hawajambo? Mwa lala ule?
 
kwame nkuruma jr

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
301
1,000
Hivi vyote hasa AC hutoa ubaridi wa kutengeneza/bandia! Mwili wa mtoto mfumo wake wa hewa bado unakuwa haujakomaa hivyo kuweza kumletea athari kubwa za nimonia kifua nk
Feni nayo kama chumba sio kisafi sana hutimua vumbi na kumfanya mtoto alivute na kupata athari

Asante sana mkuu Kwa elimu hii,je umri sahihi wa kuwasha feni au Ac kwenye chumba anacho lala mtoto ni upi ???
 
ipogolo

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
6,152
2,000
Wazazi tuepuke kutenda tendo la ndoa tukiwa na watoto wachanga/wadogo vyumbani.
Tunalala na wanetu vitandani na tunafanya tendo tukidhani vitoto vimelala.
Vinaona. (Ile picha ya kale katoto kaliko lazwa na kanakata kiuno)
 
Kitrack

Member
Dec 11, 2011
50
95
Kwa mfano kitunguu saumu ni tiba kwa mtoto anayelia na kushtuka usiku, Kijiko cha asali ni tiba kwa mtoto anayekohoa mfululizo (ukiacha kifua na mafua), Vitu kama mahirizi ya kiunoni na mkononi havimsaidii mtoto, Muda mwingi kumvalisha mtoto nguo nyingi humsababishia nimonia n.k.
hii ya kitunguu saumu unakifanyaje kwa mtoto wa mwezi mmoja na nusu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom