Kwa Watumishi wenzangu

kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
881
1,852
Habari Ndugu Wana Jukwaa
Naomba msaada wa kujuzwa utaratibu wa mtumishi kuomba kwenda kusoma maana nimeambiwa inahitajika admission number ya chuo unachoenda kusoma ilihali udahili bado haujafunguliwa.

Je, wenzangu mlifanya nini kupata admission number mapema kabda udahili haujuaanza. wakati maombi ya kwenda kusoma ni lazima yawasilishwe maoema.

kwa wenye kujua naomba mtujuze utaratibu ulivyo
 
Ungekuwa muwazi mapema kuwa unaenda kusoma level ipi? Iko ivi kama ni mtumishi wa umma utaandika barua ya kuwekwa kwenye mpango wa masomo mfano mpango wa mwaka masomo 2020/2021 utamwandikia mwajiri wako then atakujibu hiyo barua kuwa umewekwa kwenye mpango wa masomo gani then watasema ujigharamia au utasomeshwa ingawa ni mara chache kusomeshwa inategemeana kufanya kazi sehemu kisha utasubiri mpaka vyuo vianze application ukipata chuo ndio utaomba ruhusa ya kwenda masomoni akiambatisha admission letter au joining instructions kwenda kwa mwajiri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom