Kwa watumiaji wa Zuku TV

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,635
Wakuu leo nimepita sehemu nimepita nikaona tangazo la Zuku. Kiufupi nimevutiwa na Hizi channels za VIASAT km vile -Nature,
-History,
-Explore,
-Crime etc. Nimevutiwa na CCTV-9 Ducummentary.
Nimevutiwa pia na Channel kama AMC Usa na AMC series.

Aliyenipa hiki kipeperushi kasema ni cha zamani kidogo. Nimevutiwa kiukweli hadi kufikia kutaka kujiunga maana naona Azam kama hawana nia na hizo channels.

Swali kwenu ni Je hizo channels ziko poa na vifurushi vikoje kwa bei??

Zuku sports wanonesha mechi gani??.

Natanguliza shukrani.
 
Attachments

  • 1451466741092.jpg
    1451466741092.jpg
    71.8 KB · Views: 169
Kama channel zote hizo zinaonesha na si geresha ....AZAM TV hawatii mguu hapo ...mimi ni moja wa wateja wa awali wa AZAM TV lakini nimeanza kuwachoka nakufanya sometimes niwe nalipia zangu DSTV tu ....wamejaza channel za kihindi hadi kero ....
 
Nimewapigia zuku wamesema sasa wameongeza 4 ni channel 100 na ni Tshs 22500 kwa mwezi.Pia wame confirm hizo channels zipo hasa nilizozitaja. Azam naona wanazingua kabisa mkuu naiwazia hii zuku.

Nasubir kama kuna mtumiaji wa Zuku hapa aje anipe feedback nichukue uamuzi wa mwisho.
 
MI NATUMIA ZUKU,,CHANNEL ZOTE HIZO ZINAONYESHA ,,,,MALIPO YAO KWA MWEZI KIWANGO CHA CHINI 15,500,,,,ILA IYO VIASAT EXPLORE HADI ULIPIE Tsh.22,500__, Wanachokera kitu kimoja,,kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote ya ndani,,,,,,hapo tu ndo kero kabisa,,labda serikali waliangalie ili aisee,,,,,ni mateso
 
Asante sana mkuu kwa feedback kwa channel za ndani nitakuwa nachek Azam ila lengo ni hizo channels aisee. Na hiyo AMC series ni ile iliyorusha into the badlands au siyo?? Inarusha series gani??

Pia vipi kama mvua inanyesha bado inakuwa inaonesha?? maana Azam kwenye mvua ni majanga
 
Hakuna Wateja wengine wa Zuku??
Mkuu mi Ni mtumiaji wa Zuku tangu enzi za world cup mwaka Jana. Channel zote hizo zipo Na kwa upande wa cartooons Kama unamtoto atachoka mwenyewe. Naangalia Sana Viasat crime Na poa discovery world Na explore. Vipindi Kama seconds from disaster huwa natamani nikeshe naangalia. News poa channel kibao kiufupi jamaa wako njema. ILA kwenye mvua kidogo inazingua japo Si sana
 
Siku hizi siangalii Sana kwasababu mtoto anaangalia cartoons ukitoa ugomvi labda umpe simu aendelee kuangalia kwenye youtube. Mi PIA nmejikuta naangalia cartoons mda wote Na nmejikuta nainjoi... Jimjam Na babytv zinacartoon uspoinjoi basi tena
 
Mkuu mi Ni mtumiaji wa Zuku tangu enzi za world cup mwaka Jana. Channel zote hizo zipo Na kwa upande wa cartooons Kama unamtoto atachoka mwenyewe. Naangalia Sana Viasat crime Na poa discovery world Na explore. Vipindi Kama seconds from disaster huwa natamani nikeshe naangalia. News poa channel kibao kiufupi jamaa wako njema. ILA kwenye mvua kidogo inazingua japo Si sana

Asante sana kaka kwa Insights zako vipi hizo channels za AMC Series huwa wanaonesha series gani??
 
Dah ...navutika kuja zuku ...sijali idadi ya ving'amuzi ...ngoja mwaka upite ...
 
Nimewapigia zuku wamesema sasa wameongeza 4 ni channel 100 na ni Tshs 22500 kwa mwezi.Pia wame confirm hizo channels zipo hasa nilizozitaja. Azam naona wanazingua kabisa mkuu naiwazia hii zuku.

Nasubir kama kuna mtumiaji wa Zuku hapa aje anipe feedback nichukue uamuzi wa mwisho.
ni kweli mkuu hizo channels zipo,kifupi zuku wameboresha sana,ukilipia hiyo 22500 hawana channels zisizofunguka zaidi ya KBC otherwise kama uliwakimbia rudi,hautojuta nakuhakikishia..
 
MI NATUMIA ZUKU,,CHANNEL ZOTE HIZO ZINAONYESHA ,,,,MALIPO YAO KWA MWEZI KIWANGO CHA CHINI 15,500,,,,ILA IYO VIASAT EXPLORE HADI ULIPIE Tsh.22,500__, Wanachokera kitu kimoja,,kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote ya ndani,,,,,,hapo tu ndo kero kabisa,,labda serikali waliangalie ili aisee,,,,,ni mateso
Yap iyo ndo kero ya zuku, kutokuonyesha local channels kama huna kifurushi kinawakosesha wateja. Naskia zamani walikuwa wanatoa iyo ofa ila wameiondoa.
 
ni kweli mkuu hizo channels zipo,kifupi zuku wameboresha sana,ukilipia hiyo 22500 hawana channels zisizofunguka zaidi ya KBC otherwise kama uliwakimbia rudi,hautojuta nakuhakikishia..
asante sana mkuu leo nanunua vipi kuhusu Channel ya AMC series inaonesha series gani?
 
Kama sio mpenzi wa league za bongo, sijui simba na yanga..mzee nunua ZUKU, nilinunua Zuku 2012 mmoja kati ya wateja wa mwanzo iko poa sana...wanaonyesha league za ufaransa na uholanzi live ila izi za uingereza kama match imechezwa leo kesho wataionyesha, viasat zote unapata, mtv, bet na izo zingine unapata pia..wako poa sana hauwezi linganisha hao na azam, azam wanapata wateja kwasababu ya league simba na yanga
 
Vp mechi za UEFA CHAMPIONS LEAGUE unazpataje kupitia hicho king'amuzi. Nisaidieni namba za huduma kwa wateja wa Zuku.
 
Back
Top Bottom