Kwa watumiaji wa Vodacom tu ,unawasiliana nao vipi

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Inamaana hakuna Tena mawasiliano ya SIMU (sauti)Kati ya wafanyakazi wa Vodacom na watuamiaji walaji.

Nimeambiwa hata mawakala wanapata tabu sana ,inaonekana dawani la huduma lqa wateja walilifuta na kuakia na tu sms tu

Hii imaana gani kwa watuamiaji wa Voda hasa mpesa kama Kuna tatizo ,unaganyaje

mkuuu kaa uandike vizuri, kuna kasoro za kiuandishi
 
Inamaana hakuna Tena mawasiliano ya SIMU (sauti)Kati ya wafanyakazi wa Vodacom na watuamiaji walaji.

Nimeambiwa hata mawakala wanapata tabu sana ,inaonekana dawani la huduma lqa wateja walilifuta na kuakia na tu sms tu

Hii imaana gani kwa watuamiaji wa Voda hasa mpesa kama Kuna tatizo ,unaganyaje

USSR
kaa tulia, andika vizuri
 
Tumia WhatsApp mkuu
 
Nasikia kuna habari njema za ujio wa AI huko You-Do-M; sasa kazi rasmi kukwapuliwa na robots.
 
yaani hauwezi wasiliana na customer care Vodacom kizembe ni mwendo wa AI tu.

Njia rahisi uwe na mshikaji Wakala. Wao wana namba zao zinawapigia direct.
 
Back
Top Bottom