Kwa watumiaji wa mawasiliano nchini Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa watumiaji wa mawasiliano nchini Tanzania

Discussion in 'Matangazo madogo' started by KiuyaJibu, Feb 29, 2012.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kwa yeyote mwenye malalamiko au kero zinazohusiana na huduma za mawasiliano hapa nchini Tanzania;fika/peleka kero au malalamiko yako kwa njia hizi:

  1.Baruapepe:info@tcra-ccc.go.tz

  2.Fika mwenyewe makao makuu ya NSSF(Nyerere Pension Tower) makutano ya barabara ya Bibititi Mohammed na Morogoro.

  Na siyo kulalamika mitaani,ambapo hakutakusaidia zaidi ya kuishia kukasirika tu.Ni vizuri ukatumia njia hizo hapo juu kupeleka yanayokukera/kukukwaza kuhusu huduma za mawasiliano.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Upo TCRA nowadays? Tunaweza kukuletea malalamiko hapahapa yakajibiwa au kupelekwa mbele kwa utatuzi wa haraka? Usiseme tunalalamika 'mitaani'

  :juggle:
   
 3. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ukweli ni kwamba siko huko ila nafikiria hivyo hapo baadaye.
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Ni kupoteza muda na fedha bure ,hakuna kitakachoshughulikiwa huko ,TCRA ni warasimu sana,haya makampuni ya mawasiliano yamewaweka mfukoni vibosile wote wa hiyo mamlaka,kwani unafikiri hawajui mapungufu na kero za hayo makampuni ya mawasiliano?jibu ni kuwa wanayajua sana lakini wamekubali kuzibwa midomo,pia kila leo wako kwenye ziara za mafunzo nje je hawaoni utofauti wa kiutendaji kati ya makampuni ya mawasiliano ya hapa bongo na huko waendako kila kukicha?
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kupoteza muda.
   
Loading...