Kwa watumiaji ni GBWhatsApp zawadi kwenu

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,328
2,282
Leo nimewaletea mandhari nzuri ya club ya Ujerumani Borussia Dortmund
5603be580abc5ea5ce6db4e3013f58b1.jpg
nimekuwekea hapa unaweza kuipakua
Download theme ya Borussia Dortmund kwenye GBWhatsApp ~ SmatSkills utawekaje kwenye simu yako?? fuata njia hizi kwa makini
Ingia playstore pakua rar
Pakua mandhari yako kisha fungua rar nenda mpaka ulikopakualia ile theme kisha bofya itafunguka ndani kuna file 2 la wallpaper na xml tia tik zote baada kutia tik angalia juu kidogo kuna kamshale kanakoangalia juu kibonyeze hapo utakua umemaliza kufungua.
Nenda kene wasap yako sasa GB settings/more/loading hapo utafanya kama unarudi back mpaka uone file za kwenye sd card au internal tafuta kule ulikofungulia ile theme na ukishakuona bonyeza xml na uta apply simu yako itapendeza
 
Sasa wewe unaweka theme ambazo ni popular badala u customize uweke za JF, Bashite, mkulu, ccm, simba, yanga, mbuga zetu za mifugo, madhari za kibongo

Eti BvB, unakera na inaonekana umecopy

Povu ruksa
 
Sasa wewe unaweka theme ambazo ni popular badala u customize uweke za JF, Bashite, mkulu, ccm, simba, yanga, mbuga zetu za mifugo, madhari za kibongo

Eti BvB, unakera na inaonekana umecopy

Povu ruksa
Inakuja bos ndo namalizia ya jf leo jioni itakuwa tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom