Kwa watanzania wote hasa tulio chama pinzani na mawakala wetu ktk uchaguzi haya yamo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa watanzania wote hasa tulio chama pinzani na mawakala wetu ktk uchaguzi haya yamo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by upele, Oct 18, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S angry:NALIA:nono:
  NIKIWA KAMA MWANA JF HALISI NAPENDA KUWAFIKISHIA TAARIFA HIZI KWANI HAPA MAISHA YETU SI JUI KAMA YATAKUWA SALAMA MAANA CCM WAMEPANIA HASA KUCHKUA MADARAKA KWA KILA NJIA.
  WAKATI WA UCHAGUZI:
  1.MAWAKALA WA VYAMA PINZANI KUWENI MAKINI NA DHANA BANDIA ZA UCHAGUZI
  2.MUSIBABAIKE NA VYAKULA AU MATUMIZI YAO WAKATI WA UCHAGUZI BORA MUFUNGE KABISA SIKU HIYO,KWANI WATATUMIA MADAWA YA KUWAPOTEZA FAHAMU KWA 5 MINUTES ILI WAIBE,TAHADHALINI SANA NA VINYWAJI VYENU USIACHE KINYWAJI ETI UKANYWA TENA ULE WAKATI WA KUMALIZA KUPIGA KURA,
  3.KUTUMIA PIPI,MAJI,SODA ,SIGARA NA VINGINEVYO VILIVO NA DAWA YA KUWAPOTEZA FAHAMU ILI WACHUKUE KURA ZENU.
  4.KUWARUBUNI KWA MAPESA WATAKAYO KUWA WAMEYAWEKA MIFUKONI MWAO HUKU WAKIKUSHAWISHI KWA MANENO AMBAYO YAKUFANYE WAIBE KURA.
  5.KUTUMIA ASKARI KUANZISHA KICHAPO NA VURUGU WAKATI WA KUHESABU KURA HILI NDILO NJIA YA MWISHO BAADA YA NJIA HIZO ZOTE JUU IKIWA ZIMESHINDIKANA,
  6.MENGINEYO TAHADHARINI SANA NA VIJANA AMBAO NAONA WANAMALIZIA MAFUNZO YAO HUKO MAFICHONI MWAO WAMEAMBIWA HATA KUUWA IKIBIDI WAUWE PIA HILI NALO NI MUHIMU KUCHUKUA MAJI NA KITAMBAA KWANI WAKIPIGA MABOMU YAO YA MACHOZI BASI ITAWASAIDIA KUPATA HATA NAFUU YA KURUDI NYUMBANI.
  NI MOYO NA HURUMA KWA NCHI HII NA WAPUUZI WACHACHE WANAOTAKA MADARAKA KWA NGUVU .
   
 2. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good observation, Vita ni vita kila mtu ahakikishe msimamizi wake amekula kwake la afunge. hayo ndo magori ya kisigino! bora lawama wakuu
   
Loading...