Kwa Watanzania mliotucheka kwa sisi kutukanwa na Mchina, hivi mnajua Ronald Reagan aliwahi kuwaita Watanzania 'nyani'

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,746
48,338
Kuna kipindi Mchina fulani alinukuliwa akiwatukana Wakenya kwa kuwaita nyani, kitu ambacho kilisababisha afurushwe nchini moja kwa moja. Kisa hicho kilionekana kuwafurahisha sana Watanzania ambao wamesahau tusi lolote la kibaguzi dhidi ya Mkenya pia linawahusu na wao.
Sasa kuna taarifa za clip zimejitokeza kwamba aliyekua rais wa Marekani bwana Ronald Reagan aliwahi kuwatusi Watanzania na kuwaita 'nyani'.
-------------------------

Tanzania is at the centre of a newly unearthed racial conversation between two former American presidents, in which a Tanzanian delegation to the UN is referred to as “monkeys”.
In an audio clip, unearthed from the President Richard Nixon Library, former President Ronald Reagan is heard disparaging Tanzanians as ‘monkeys’ during a telephone call with the then incumbent President Nixon.
The long-hidden racist conversation between the two American leaders has just been published in The Atlantic, following years of attempts to block its release in a bid to protect the former US president’s privacy.
It was October 1971 when the UN a took its vote to seat a delegation from the People’s Republic of China, instead of from Taiwan.
 
Ukiambiwa hujui kusoma kiingereza unatokwa na povu.
Haya onesha sehemu Ronald alisema Watanzania ni nyani kwenye ile original version ya text na audio iliotolewa na Atlantic.
 
Tanzania convinced more than 59 kupiga kura kuziwezesha China kupata permanent seat in the UN. Rudi hapa ukiniambia lini Kenya mshawahi ku convince nchi zaidi ya 5 kufanya kitu flani mkafanikiwa tangia Dunia iumbwe ...

Hajui historia huyo mtoto. Ronald aliitaja Tanzania kwa sababu tuliwagaragaza kuanzia kuingiza China UN, pia kuifanya China become a Standing Member of Security Committee of UN.
 
Ziliiuwa hasira zake hizo kwa Tz lakini Africa kwa ujumla bado kuna shida sehemu maana Mungu anajua siku maraisi wetu simu zao zikivuja wanachoongea ndio utajua
 
Yani watu mshabadili Watanzania duuu. Rudi kasikilize vizuribharafu uje utueleze sehemu gani walitajwa Watanzania.
 
Ukiambiwa hujui kusoma kiingereza unatokwa na povu.
Haya onesha sehemu Ronald alisema Watanzania ni nyani kwenye ile original version ya text na audio iliotolewa na Atlantic.
i saw this news item about Ronald Reagan using the "monkey" word on American TV last night. So it definitely happened.
 
Tanzania convinced more than 59 states kupiga kura kuziwezesha China kupata permanent seat in the UN. Rudi hapa ukiniambia lini Kenya mshawahi ku convince nchi zaidi ya 5 kufanya kitu flani mkafanikiwa tangia Dunia iumbwe ...

This is the problem of getting high on your own supply.
In your bongolala mind, you think LDC Tanzania can convince 1 country to do anything, leave alone 59 states.

The whole of Western Europe, including UK and France sided with China. Tanzania must be very powerful to convince them.
Canada sided with China. Almighty Tanzania.
Mexico sided with China. Almighty Tanzania.
India sided with China.
Russia sided with China.
Egypt sided with China.
Kenya sided with China.

All hail Tanzania, the most powerful country to ever grace this earth. 😂 😂 😂 😂

Here is the map of the countries you were able to convince on that glorious day.

un vote.JPG
 
Umeonae? Jamaa walishabikia sana kwa kukenua meno na kusahau kujiangalia kwa kioo.....hehehe
Hapa wameitwa nyani na rais kabisa hata sio mtu wa kawaida.
Sasa wewe kwa akili yako kati yetu na ninyi wapi wamedharauliwa zaidi? Kama jobless Chinese boy anawaita nyani wazi wazi vipi Rais Xi?

Ni sawa na mtu aliegongwa na punda akafa na aliegongwa na Lamboghin kuna kaheshima kako pahala kati ya hao wawili japo wote marehemu.

Of course huyo Rais Alisema secretly behind closed doors na kulikuwa na mantiki kutuita hivyo sababu anajua kashkash letu tulilompa.
 
Sasa wewe kwa akili yako kati yetu na ninyi wapi wamedharauliwa zaidi? Kama jobless Chinese boy anawaita nyani wazi wazi vipi Rais Xi?

Ni sawa na mtu aliegongwa na punda akafa na aliegongwa na Lamboghin kuna kaheshima kako pahala kati ya hao wawili japo wote marehemu.

Of course huyo Rais Alisema secretly behind closed doors na kulikuwa na mantiki kutuita hivyo sababu anajua kashkash letu tulilompa.

Hehehe kati yetu na nyie nani nyani kumzidi mwenzie, hebu kajiangalie kwa kioo...
Mnachekesha sana, kwamba nyie ni nyani watanashati na afueni. Miafrika bana.
 
Mzungu anawaweka watu weusi wote kwenye fungu moja la nyani. Akiitwa Mkenya nyani ujue hata wewe Mtanzania, Mganda na Mmarekani Mweusi mnahusika.

Tusijidanganye na mipaka ya mzungu tukadhani kuna Waafrika wengine hawaitwi nyani.
 
Back
Top Bottom