Kwa Watani Zangu Wamakonde!

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Wewe ni Mmakonde? Natanguliza samahani kwa kukupa kazi usiyoitarajia... Haya sasa!
Tamka sentensi au maneno yafuatayo!
1. Sio siri sisi si sisimizi.
2. Sarakasi si silaha.
3. Sipiringi sipoku na sindano.
4. Sawa saa ya safari ni sasa.
5. Siku hizi nasikitika sikuoni.
6. Sioni, sisikii, silimi na sitikisiki.

ZAWADI: Chamaki Nchanga chapi kabicha na chupu ya Pungo... Tehe teh!
 
Back
Top Bottom