Kwa watalamu wa magari msaada wenu tafadhali

Chilemba wamela pamputi

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
468
486
Habari za humu wakuu, wadogo marhaba na wakubwa wote shikamoni.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina gari yangu inasumbua ni automatic. Yaani ukiwa unaendesha unasikia kama inakuvuta nyuma au kama umebonyeza break, unaenda kwa muda inaachia tena, sasa hivyohivyo kwa kujirudia rudia.

Naomba mwenye uelewa wa tatizo anisaidie au aliyewahi kukutana na tatizo hilo pia inasasidie,

Nataizya saana.
 
Maelezo yako hayajitoshelezi.

Gari yako ni brand gani na model gani?

Inavuta mbele, nyuma au all wheels drive?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom