Kwa wataalamu wa os hivi hii inawezekana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wataalamu wa os hivi hii inawezekana

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by prakatatumba, Sep 7, 2012.

 1. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wakuu nina toshiba yangu ina ram 3, hdd 320, nataka kuiweka window 7 ultimate na ubuntu kwa pamoja. Kama inawezekana naomben hatua za kufuata.
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  choices

  1. Download and install VirtualBox is a powerful x86 and AMD64/Intel64 virtualization product for enterprise as well as home use. Not only is VirtualBox an extremely feature rich, high performance product for enterprise customers,


  Presently, VirtualBox runs on Windows, Linux, Macintosh, and Solaris hosts and supports a large number of guest operating systems including but not limited to Windows (NT 4.0, 2000, XP, Server 2003, Vista, Windows 7), DOS/Windows 3.x, Linux (2.4 and 2.6), Solaris and OpenSolaris, OS/2, and OpenBSD.  VirtualBox for Windows. Within VirtualBox Ubuntu 10.10 is running.

  [​IMG]


  2. Download and install vm ware workstation 8
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu shukrani ila hapo installation, kwan aiwi installed kwa njia ya bootable cd ile?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  virtualbox sio instalation ya kweli ya ubuntu, inakuwa inarun ndani ya windows so unakuwa unaloas OS mbili, performance inakuwa sio nzuri.

  Njia rahisi ya kuinstall ubuntu/windows ni kuinstall windows kwanza kisha download Ubuntu Windows Installer (Windows installer | Ubuntu), hii itainstall Ubuntu kama Program i.e inakaa kwenye install/unistall kama program zengine na inajiongeza kwenye Boot menu wakati PC inaanza utaweza kuchagua unataka Windows au Ubuntu, kwa njia hii hakuna haja ya kupartition HD yako na hakuna risk ya kuharibu windows.
  Checki video hii:  Njia ya kizamani ya kuinstall Ubuntu na windows ni kutengeneza partition mbili kisha kuinstall Windows kwenye moja na Ubuntu kwenye nyingine, kutegemea na hali ya PC yako process ni tofauti i.e Windows teyari ipo installed au PC iko empty kabisa. Google "Dual booting windows 7 and Ubuntu"

  Always backup kila kitu cha muhimu kabla ya haya mambo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Shukran sana mkuu hapa nimekuelewa vizuri sana, nitatumia njia ya kisasa ila ubuntu inaweza kukaa kwa pamoja na window 7 ultimate bila partion yoyote maana nimeona nying n ubuntu na xp
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...